Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Nov 21, 2018 04:16

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) zimedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 37 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.

  • UN: Waliotekeleza hujuma ya kigaidi Somalia wawajibishwe

    UN: Waliotekeleza hujuma ya kigaidi Somalia wawajibishwe

    Nov 12, 2018 11:50

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali shambulio la kigaidi la Novemba 9 mjini Mogadishu nchini Somalia ambalo limeua raia wengi wasio na hatia na kujeruhi makumi ya wengine.

  • Utafiti: Mashambulizi ya anga ya Marekani huko Somalia hayana tija

    Utafiti: Mashambulizi ya anga ya Marekani huko Somalia hayana tija

    Nov 11, 2018 10:50

    Utafiti mpya umesema mashambulizi ya anga yanayofanywa kila uchao na Marekani nchini Somalia yameshindwa kulitokomeza au hata kulidhoofisha kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na badala yake yamekuwa na taathira hasi kwa raia wa kawaida.

  • Watu zaidi ya 30 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Mogadishu

    Watu zaidi ya 30 wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Mogadishu

    Nov 09, 2018 23:56

    Watu zaidi ya 30 wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi yaliyolenga Hoteli ya Sahafi mjini Mogadishu ambayo hutumiwa zaidi na maafisa wa serikali ya Somalia.

  • Mbunge auawa katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia

    Mbunge auawa katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia

    Nov 08, 2018 12:18

    Polisi ya Somalia imesema mbunge mmoja wa eneo la HirShabelle amepoteza maisha katika mripuko wa bomu uliotokea adhuhuri ya leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

  • Mkuu wa fedha wa al-Shabaab ya Somalia auawa

    Mkuu wa fedha wa al-Shabaab ya Somalia auawa

    Oct 26, 2018 10:32

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetangaza habari ya kufanikiwa kumuangamiza Mdhibiti Mkuu wa Fedha wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab.

  • Watu zaidi ya 50 wauawa katika mapigano baina ya koo huko Somaliland, Somalia

    Watu zaidi ya 50 wauawa katika mapigano baina ya koo huko Somaliland, Somalia

    Oct 24, 2018 13:01

    Mapigano yaliyojiri kati ya koo hasimu katika kijiji cha Dhumey eneo la Somaliland lililojitenga na Somalia yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 50.

  • Jumapili, Oktoba 21, 2018

    Jumapili, Oktoba 21, 2018

    Oct 21, 2018 06:41

    Leo ni Jumapili tarehe 11 Mfunguo Tano Swafar 1440 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 21 Oktoba mwaka 2018 Miladia.

  • Idadi ya vifo katika miripuko wa Somalia yaongezeka

    Idadi ya vifo katika miripuko wa Somalia yaongezeka

    Oct 15, 2018 04:21

    Idadi ya wahanga wa mashambulio mawili ya kujiripua kwa mabomu iliyotokea kusini magharibi mwa Somalia imeongezeka. Taarifa zinasema kuwa watu 20 wamepoteza maisha na wengine 40 wamejeruhiwa katika miripuko hiyo miwili iliyopishana kwa dakika chache tu.

  • Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi Somalia

    Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi Somalia

    Oct 14, 2018 03:36

    Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika mji wa Baidoa nchini Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS