-
Wasiwasi wa AU kuhusu madola yasiyo ya Afrika kuingilia mambo ya Somalia
May 28, 2018 03:22Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat ameeleza wasiwasi kuhusu ongezeko la uingiliaji wa nje unaofanywa na madola yasiyo ya Afrika katika mambo ya ndani ya Somalia.
-
AU, UN na IGAD zataka kusitishwa mapigano kati ya Puntland na Somaliland
May 25, 2018 03:02Jamii ya kimataifa imeeleza juu ya wasi wasi mkubwa ilionao kutokana na kushtadi mapigano kati ya vikosi vya maeneo yenye mamlaka ya ndani ya Somaliland na Puntland nchini Somalia.
-
Msafara wa magari ya jeshi washambuliwa Somalia, 12 waripotiwa kuuawa
May 22, 2018 09:15Kwa akali askari 12 wa Jeshi la Somalia wameripotiwa kuuawa katika shambulio la bomu lililolenga msafara wa magari ya jeshi hilo katika wilaya ya Wanaweyn, yapata kilomita 30 kaskazini mashariki mwa mji mkuu Mogadishu.
-
Somalia yakadhibisha madai ya Kenya ya kuwa tayari kufanya mazungumzo kuhusu mzozo wa mipaka
May 22, 2018 04:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia imekanusha madai yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya kuwa iko tayari kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na nchi hiyo kuhusiana na mgogoro wa mipaka yao ya pamoja ya baharini.
-
Muda wa kuhudumu kikosi cha AU cha kulinda amani Somalia waongezwa
May 16, 2018 09:23Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja suala la kurefushwa kazi za kikosi cha Umoja wa Afrika AU cha kulinda amani nchini Somalia kinachojulikana kwa jina la AMISOM.
-
Rais wa Somalia alaani mauaji ya makumi watu katika mapigano kati ya Somaliland na Puntland
May 16, 2018 03:26Rais Mohammed Abdullahi Farmajo wa Somalia ametoa mwito wa kusitishwa mara moja na pasina masharti yoyote mapigano kati ya vikosi vya maeneo yenye mamlaka ya ndani ya nchi hiyo, ya Somaliland na Puntland.
-
Qatar kuendelea kuisaidia Somalia huku mgogoro na Imarati ukitokota
May 15, 2018 09:14Qatar imeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali ya Somalia za kurejesha uthabiti na uhuru wa kujitawala huku mgogoro kati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na Umoja wa Falme za Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Watu 21 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu nchini Somalia
May 10, 2018 02:00Polisi ya Somalia imetangaza kuwa, kwa akali watu 21 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililotokea sokoni nchini humo.
-
Kenya yazionya nchi za Kiarabu ziache kushadidisha mgogoro wa Somalia
May 08, 2018 03:27Serikali ya Kenya imezionya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, hasa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuacha kuchochea mgogoro wa Somalia na kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo.
-
AMISOM kupeleka maafisa wa polisi katikati mwa Somalia
May 08, 2018 03:23Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetangaza mpango wake wa kutuma maofisa wa polisi kwenye eneo la Hirran, katikati kusini mwa Somalia.