-
UN yataka kuongezwa misaada ya kibinadamu nchini Sudan
May 16, 2018 09:10Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kuongeza misaada ya kibinadamu kwa Sudan kutokana na hali ya kimaisha kuzidi kuwa mbaya nchini humo.
-
Rais al-Bashir wa Sudan alifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri
May 14, 2018 03:12Rais Omar Hassan al-Bashir amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kufuatia mgogoro wa kiuchumi unaoikabili nchi hiyo.
-
Serikali ya Sudan: Watakaohalifu mpango wa kukusanya silaha watahukumiwa kifo
May 08, 2018 12:25Makamu wa Rais wa Sudan Hassabu Mohamed Abdalrahman ameonya kuwa wapinzani wa mpango wa kukusanya silaha katika maeneo yenye mapigano na wale watakaohalifu kutekeleza mpango huo watashtakiwa na kuhukumiwa kifo.
-
Sudan: Mpango wa kukusanya silaha utaendelea kutekelezwa
May 06, 2018 12:09Serikali ya Sudan imetangaza kuwa, mpango wa kukusanya silaha kama moja ya njia za kurejesha amani na uthabiti wa nchi hiyo utaendelea kutekelezwa.
-
Sudan kufunga balozi zake 13 nje ya nchi
May 03, 2018 02:34Rais Omar al Bashir wa Sudan ameagiza kuandaliwa upya muundo wa kitaasisi wa mabalozi wanaoiwakilisha nchi hiyo nje ya nchi na kufungwa balozi 13 za nchi hiyo kutokana na nchi hiyo kukabiliwa na mgogoro wa fedha.
-
Maji yaifika shingoni Sudan, yatafakari kuhusu uwepo wa askari wake Yemen
May 02, 2018 21:18Siku chache baada ya wabunge wa upinzani nchini Sudan kumtaka rais wa nchi hiyo Omar al Bashir awaondoe wanajeshi wa nchi hiyo huko Yemen, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo ya amesema wanatafakari kuhusu uwezekano wa kuwarejesha nyumba wanajeshi wa nchi hiyo walioko Yemen.
-
Wabunge wa Sudan wataka wanajeshi wa nchi hiyo waondoke Yemen
May 01, 2018 02:58Wabunge nchini Sudan wamemtaka rais wa nchi hiyo Omar al Bashir achukue hatua za haraka kuondoa wanajeshi wa nchi hiyo walioko katika muungano wa kijeshi wa Saudia ambao unatekeleza hujuma dhidi ya Yemen.
-
Chama cha Umma chawataka Wasudan kumuondoa madarakani al Bashir
Apr 27, 2018 03:36Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan kimewataka wananchi na wafuasi wake kumiminika mitaani na kumuondoa madarakani Rais Omar al Bashir wa nchi hiyo.
-
Mamluki wa Saudia raia wa Sudan waendelea kuangamizwa Yemen
Apr 22, 2018 09:26Makumi ya mamluki wa Sudan waliokodishwa na Saudi Arabia wameuawa na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen katika eneo la Asir, lililoko katika mpaka wa kusini magharibi mwa Saudia.
-
Siku moja baada ya 'kumwaga mtama', Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan auzuliwa
Apr 19, 2018 23:52Rais Omar al Bashir wa Sudan amemwachisha kazi waziri wake wa mambo ya nje Ibrahim Ghandour.