Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Siku moja baada ya 'kumwaga mtama', Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan auzuliwa

    Siku moja baada ya 'kumwaga mtama', Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan auzuliwa

    Apr 19, 2018 23:52

    Rais Omar al Bashir wa Sudan amemwachisha kazi waziri wake wa mambo ya nje Ibrahim Ghandour.

  • Waziri wa Sudan: Serikali haina uwezo wa kukidhi mahitaji ya kifedha ya balozi zake

    Waziri wa Sudan: Serikali haina uwezo wa kukidhi mahitaji ya kifedha ya balozi zake

    Apr 19, 2018 03:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan ametangaza hadharani kuwa nchi yake haina uwezo wa kuwalipa mishahara wanadiplomasia wake wengi walioko ng'ambo huku baadhi ya balozi za nchi hiyo zikiwa na uwezekano wa kufungwa kutokana na matatizo ya kushindwa kulipa kodi.

  • Sudan yaishtaki Misri kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Sudan yaishtaki Misri kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Apr 18, 2018 12:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amewasilisha mashtaka ya nchi yake dhidi ya Misri kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Misri kuendesha uchaguzi wa rais katika maeneo ya mpakani yanayogombaniwa ya Halaib na Shalateen.

  • Rais Bashir wa Sudan aamuru wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru

    Rais Bashir wa Sudan aamuru wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru

    Apr 11, 2018 03:00

    Rais Omar al Bashir wa Sudan ametoa amri ya kuachiliwa huru wafungwa wote wa kisiasa nchini humo.

  • Makumi ya mamluki wa Sudan wauawa Yemen

    Makumi ya mamluki wa Sudan wauawa Yemen

    Apr 08, 2018 03:14

    Makumi ya mamluki wa Sudan waliokodishwa na Saudi Arabia wameuawa na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Misri, Sudan na Ethiopia zashindwa kuafikiana kuhusu bwawa la al-Nahdha

    Misri, Sudan na Ethiopia zashindwa kuafikiana kuhusu bwawa la al-Nahdha

    Apr 06, 2018 09:50

    Mkutano wa Misri, Sudan na Ethiopia wa kujadili suala tata la bwawa la al-Nahdha umegonga mwamba huku pande tatu hizo zikishindwa kuafikiana.

  • Chama cha Umma Sudan chakadhibisha madai ya serikali

    Chama cha Umma Sudan chakadhibisha madai ya serikali

    Apr 04, 2018 22:05

    Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan, National Umma Party (NUP) kimetangaza kuwa hatua zinaochukuliwa na serikali ya Khartoum dhidi ya kiongozi wa chama hicho, Sadiq al Mahdi ni hatari sana na zinatishia amani na usalama wa nchi hiyo.

  • Wabunge nchini Sudan waitaka serikali kujiondoa katika muungano vamizi dhidi ya Yemen

    Wabunge nchini Sudan waitaka serikali kujiondoa katika muungano vamizi dhidi ya Yemen

    Apr 02, 2018 10:18

    Baadhi ya wabunge nchini Sudan wameitaka serikali ya Khartoum kujiondoa katika muungano vamizi wa nchi za Kiarabu unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa maskini lisilo na ulinzi la Yemen.

  • Chama kikuu cha upinzani Sudan chamtaka Rais Al Bashir ang'atuke madarakani

    Chama kikuu cha upinzani Sudan chamtaka Rais Al Bashir ang'atuke madarakani

    Mar 24, 2018 00:08

    Kiongozi wa chama cha Umma nchini Sudan Sadiq al-Mahdi amemtaka rais wa nchi hiyo Omar Hassan Al Bashir aondoke madarakani kwa njia ya amani.

  • Sudan yasema, ina azma ya kutatua hitilafu zake na Misri

    Sudan yasema, ina azma ya kutatua hitilafu zake na Misri

    Mar 19, 2018 11:52

    Rais wa Sudan amesema kuwa nchi yake imedhamiria kwa dhati kutatua hitilafu zilizopo kati ya Khartoum na Cairo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS