-
Rais Bashir wa Sudan aamuru wafungwa wote wa kisiasa waachiliwe huru
Apr 11, 2018 03:00Rais Omar al Bashir wa Sudan ametoa amri ya kuachiliwa huru wafungwa wote wa kisiasa nchini humo.
-
Makumi ya mamluki wa Sudan wauawa Yemen
Apr 08, 2018 03:14Makumi ya mamluki wa Sudan waliokodishwa na Saudi Arabia wameuawa na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Misri, Sudan na Ethiopia zashindwa kuafikiana kuhusu bwawa la al-Nahdha
Apr 06, 2018 09:50Mkutano wa Misri, Sudan na Ethiopia wa kujadili suala tata la bwawa la al-Nahdha umegonga mwamba huku pande tatu hizo zikishindwa kuafikiana.
-
Chama cha Umma Sudan chakadhibisha madai ya serikali
Apr 04, 2018 22:05Chama kikuu cha upinzani nchini Sudan, National Umma Party (NUP) kimetangaza kuwa hatua zinaochukuliwa na serikali ya Khartoum dhidi ya kiongozi wa chama hicho, Sadiq al Mahdi ni hatari sana na zinatishia amani na usalama wa nchi hiyo.
-
Wabunge nchini Sudan waitaka serikali kujiondoa katika muungano vamizi dhidi ya Yemen
Apr 02, 2018 10:18Baadhi ya wabunge nchini Sudan wameitaka serikali ya Khartoum kujiondoa katika muungano vamizi wa nchi za Kiarabu unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa maskini lisilo na ulinzi la Yemen.
-
Chama kikuu cha upinzani Sudan chamtaka Rais Al Bashir ang'atuke madarakani
Mar 24, 2018 00:08Kiongozi wa chama cha Umma nchini Sudan Sadiq al-Mahdi amemtaka rais wa nchi hiyo Omar Hassan Al Bashir aondoke madarakani kwa njia ya amani.
-
Sudan yasema, ina azma ya kutatua hitilafu zake na Misri
Mar 19, 2018 11:52Rais wa Sudan amesema kuwa nchi yake imedhamiria kwa dhati kutatua hitilafu zilizopo kati ya Khartoum na Cairo.
-
Rais wa Sudan aonana na Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Misri
Mar 11, 2018 22:59Rais Omar al Bashir wa Sudan ameonana na Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Misri mjini Khartoum na kujadiliana naye masuala mbalimbali yanayozihusu nchi hizo mbili.
-
Russia kuijengea Sudan kinu cha nyuklia cha kuzalisha umeme
Mar 11, 2018 04:31Waziri wa Maji na Umeme wa Sudan amesema nchi hiyo na Russia zimefikia makubaliano ambapo Moscow itaijengea Khartoum kinu cha nyuklia cha kiwango cha chini kwa ajili ya kuzalisha umeme.
-
Zaidi ya watu 170 wa nchi tofauti waokolewa kutoka mikononi mwa wafanya magendo Sudan
Mar 05, 2018 04:44Mkuu wa polisi mjini Khartoum, Sudan ametangaza habari ya kuokolewa zaidi ya watu 170 raia wa kigeni kutoka mikononi mwa kundi la wafanya magendo ya binaadamu nchini humo.