Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Malik Agar: Chaguo letu ni suluhisho la kijeshi hadi mazingira ya mazungumzo yatakapotimizwa

    Malik Agar: Chaguo letu ni suluhisho la kijeshi hadi mazingira ya mazungumzo yatakapotimizwa

    Aug 23, 2026 14:19

    Malik Agar, naibu mkuu wa Baraza Kuu la Utawala nchini Sudan, amesema kwamba chaguo la sasa ni suluhisho la kijeshi mpaka pale mazingira ya kufanyika mazungumzo yatakapotimizwa, akisisitiza kwamba Khartoum inalitaka kundi la Rapid Support Forces (RSF) kuondoka katika miji na maeneo ya makazi ya raia kabla ya mazungumzo yoyote kuanza.

  • Vita vya Sudan: Wapiganaji 318 wa RSF wajiunga na jeshi

    Vita vya Sudan: Wapiganaji 318 wa RSF wajiunga na jeshi

    Aug 20, 2026 03:21

    Jeshi la Sudan limeripoti kuwa wapiganaji 318 wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF), wakiwemo makamanda wanne wameasi na kujiunga na jeshi hilo katika tukio la hivi karibuni la wanachama wa kikosi hicho cha kijeshi kuamua kujisalimisha.

  • Gaza na Sudan zaongoza katika orodha ya maeneo hatari zaidi kwa watoa misaada ya kibinadamu

    Gaza na Sudan zaongoza katika orodha ya maeneo hatari zaidi kwa watoa misaada ya kibinadamu

    Aug 19, 2026 10:52

    Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba mwaka 2025 ulishuhudia viwango vya juu vya ukatili dhidi ya wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu, ambapo wafanyakazi 907 wa sekta hiyo wameuawa, kujeruhiwa au kutekwa nyara.

  • Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan: Jeshi liko tayari kwa amani; apinga kurejea madarakani RSF

    Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan: Jeshi liko tayari kwa amani; apinga kurejea madarakani RSF

    Aug 16, 2026 03:12

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema kuwa jeshi bado limedhamiria kuwashinda wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF)—kikosi cha kijeshi kisicho rasmi- na amesisitiza kuwa jeshi liko tayari kupokea kile alichokiita juhudi za "kweli" za amani.

  • Mtawala wa Dubai 'azongwa' kwenye mitaa ya London kwa kuhusika UAE katika vita vya Sudan

    Mtawala wa Dubai 'azongwa' kwenye mitaa ya London kwa kuhusika UAE katika vita vya Sudan

    Aug 12, 2026 03:31

    Mtawala wa Dubai ambaye ni waziri mkuu wa Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE amezongwa kwa maneno katika mitaa ya katikati mwa mji mkuu wa Uingereza, London kuhusiana na ushiriki wa nchi yake katika vita vya ndani nchini Sudan.

  • Kitengo cha

    Kitengo cha "Kundi 26" cha RSF chajisalimisha kwa jeshi la Sudan

    Aug 02, 2026 02:45

    Shirika la Habari la Sudan SUNA limetangaza kuwa, kitengo kimoja cha Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF kimejisalimisha kwa jeshi na kukabidhi wanajeshi wake na vifaa kamili vya kijeshi.

  • Al-Burhan atembelea miji ya kimkakati ya Sudan iliyokombolewa kutoka kwa RSF

    Al-Burhan atembelea miji ya kimkakati ya Sudan iliyokombolewa kutoka kwa RSF

    Jul 29, 2026 02:19

    Mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametembelea miji ya Umm Sayala na Jabrat al-Sheikh katika jimbo la Kordofan Kaskazini siku moja baada ya jeshi kuchukua udhibiti wa maeneo mawili kutoka kwa wapiganaji wa RSF.

  • Jeshi la Sudan ladai kudhibiti barabara kuu inayounganisha Khartoum na El-Obeid

    Jeshi la Sudan ladai kudhibiti barabara kuu inayounganisha Khartoum na El-Obeid

    Jul 28, 2026 03:47

    Jeshi la Sudan limetangaza kuwa limerejesha udhibiti kamili wa barabara kuu inayounganisha mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum, na El-Obeid, mji ambao umekuwa ukizingirwa na kundi la wanamgambo Rapid Support Forces (RSF).

  • Khartoum yatoa ushahidi dhidi ya UAE na kuikosoa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Khartoum yatoa ushahidi dhidi ya UAE na kuikosoa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai

    Jul 18, 2026 09:07

    Waziri wa Sheria wa Sudan, Abdullah Darf, amewasilisha kifurushi cha njia za kisheria "zisizo za kawaida" ambazo serikali ya Khartoum inakusudia kuchukua ili kufungua mashtaka dhidi ya serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na kundi la waasi la Rapid Support Forces (RSF), akisisitiza kwamba Khartoum ina "ushahidi wa kutosha na data kamili" kuhusu "ushiriki wa Abu Dhabi katika vita na uhalifu uliofanywa na pande hizo mbili dhidi ya watu wa Sudan."

  • Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya kutumia vibaya rasilimali za Sudan kufadhili vita

    Umoja wa Mataifa waonya dhidi ya kutumia vibaya rasilimali za Sudan kufadhili vita

    Jul 16, 2026 03:04

    Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba makundi yanayopigana nchini Sudan yanafaidika kutokana na udhibiti wa rasilimali za nchi hiyo, wakati uchumi wa vita ukichangia katika kuendeleza mzozo huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS