-
Kadhaa wauawa katika mapigano mapya ya kikabila Blue Nile, Sudan
Sep 02, 2022 07:30Kwa akali watu saba wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyozuka katika jimbo la Blue Nile, kusini mwa Sudan.
-
Sudan yamwita balozi wa Ethiopia kulalamikia madai ya Addis Ababa kuhusu silaha za wapiganaji wa Tigray
Aug 31, 2022 06:57Wizara ya Masshauri ya Kigeni ya Sudan imemwita katika makao makuu ya wizara hiyo balozi wa Ethiopia mjini Kharton na kumkabidhi malalamiko dhidi ya madai ya serikali ya Addis Ababa ya kupita katika anga ya Sudan ndege iliyokuwa imebeba silaha kwa ajili ya kuwapelekea wapiganaji wa jimbo la Tigray.
-
Abdul-Fattah al-Burhan afanya mabadiliko makubwa katika jeshi la Sudan
Aug 26, 2022 05:22Jenerali Abdul-Fattah al-Burhan, kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, ametangaza mabadiliko makubwa ya uongozi katika jeshi la nchi hiyo, huku msukosuko wa kisiasa na kiuchumi ukiendelea kushuhudiwa nchini humo.
-
Wasudani: Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan ni kuachia ngazi watawala wa kijeshi
Aug 20, 2022 03:18Upinzani dhidi ya utawala wa kijeshi nchini Sudan unaendelea ambapo waandamanaji wanasisitiza kuwa, njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo ni kuachia ngazi utawala wa kijeshi unaoongozwa na Jenerali Abdul-Fatah al-Burhan
-
Juhudi za kuiondoa Sudan kwenye mkwamo wa kisiasa
Aug 15, 2022 23:38Juhudi za kutatua mzozo wa kisiasa nchini Sudan zinaendelea. Kuhusiana na hilo, Abd al-Fattah Al-Burhan, mtawala wa kijeshi wa Sudan, ametoa wito wa "kufikiwa makubaliano ya kitaifa" ili kuondokana na mgogoro wa sasa wa kisiasa nchini humo.
-
Wasudan waandamana kuunga mkono mpango wa kisiasa wa Jenerali al-Burhan
Aug 15, 2022 06:58Duru za habari zimeripoti kuwa, mamia ya Wasudan wameandamana kuunga mkono mpango wa kisiasa uliobuniwa na mkuu wa majeshi Brigedia Jenerali Abdel Fattah el-Burhan kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Mafuriko yaua watu zaidi ya 50 nchini Sudan
Aug 14, 2022 02:57Makumi ya watu wameaga dunia kufuatia mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Sudan.
-
Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan
Aug 13, 2022 06:54Maiti 20 za wahajiri haramu zimepatikana katika jangwa lililoko baina ya Libya na Sudan.
-
Waliopanga mapinduzi ya Sudan wakiri, wameshindwa kufikia malengo yao
Aug 04, 2022 20:43Mgogoro wa kisiasa na kutoridhika kwa jamii nchini Sudan kumekuwa na taathira kubwa na pana, kwa kadiri kwamba "Mohamed Hamdan Dagalo", anayejulikana kama Hemetti, Makamu wa Rais wa Baraza la Uongozi la Sudan, amekiri kwamba: "Inasikitisha kuwa hatukuweza kufanya mabadiliko yoyote na sasa hali ya Sudan imekuwa mbaya zaidi."
-
Wafanyamapinduzi ya kijeshi wakiri kuwa wameshindwa kuleta mabadiliko Sudan
Aug 02, 2022 03:11Naibu Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan amekiri kuwa mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa nchini humo yameshindwa kuleta mabadiliko.