Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Watu 160 wauawa katika mapigano mapya Darfur, Sudan

    Watu 160 wauawa katika mapigano mapya Darfur, Sudan

    Apr 25, 2022 06:10

    Watu wasiopungua 160 wameuawa katika jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan baada ya kuibuka mapigano baina ya makundi mawili hasimu.

  • Walinda amani zaidi ya 500 wa kimataifa wa Ethiopia waomba hifadhi nchini Sudan

    Walinda amani zaidi ya 500 wa kimataifa wa Ethiopia waomba hifadhi nchini Sudan

    Apr 24, 2022 23:32

    Shirika la habari la Ufaransa limeripoti kuwa, zaidi ya walinda amani 500 wa Umoja wa Mataifa kutoka eneo la Tigray nchini Ethiopia wameomba hifadhi nchini Sudan.

  • Sudan yaitaka jamii ya kimataifa kuiwajibisha Israel baada ya kuvamia al Aqsa

    Sudan yaitaka jamii ya kimataifa kuiwajibisha Israel baada ya kuvamia al Aqsa

    Apr 18, 2022 08:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imelaani vikali mashambulizi ya wanajeshi wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa na shambulio dhidi ya waumini wa Kipalestina wasio na ulinzi waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala ya Alfajiri katika eneo hilo.

  • Mahakama ya Sudan yamwachia huru Al-Ghandour na wenzake 12, walikabiliwa na tuhuma za ugaidi

    Mahakama ya Sudan yamwachia huru Al-Ghandour na wenzake 12, walikabiliwa na tuhuma za ugaidi

    Apr 07, 2022 22:54

    Mahakama ya Sudan imemwachia huru Mkuu wa Chama cha National Congress Party (chama tawala zamani), Ibrahim Al-Ghandour na wengine 12 waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuhujumu utaratibu wa kikatiba na kufadhili ugaidi. Uamuzi wa mahakama hiyo umetajwa kuwa wa mwisho usioweza kukatiwa rufaa.

  • Wasudan waandamana usiku kucha dhidi ya serikali ya kijeshi

    Wasudan waandamana usiku kucha dhidi ya serikali ya kijeshi

    Apr 07, 2022 02:09

    Wananchi wa Sudan wameendelea kuandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na katika miji mingine ya nchi hiyo dhidi ya serikali ya kijeshi.

  • Ujumbe wa Israel wakutana na wakuu wa jeshi la Sudan mjini Khartoum

    Ujumbe wa Israel wakutana na wakuu wa jeshi la Sudan mjini Khartoum

    Apr 03, 2022 22:05

    Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya safari ya siri mjini Khartoum, na kukutana na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Sudan.

  • Sudan yatishia kumfukua mwakilishi wa kudumu wa UN, kisa, anaingilia mambo ya ndani

    Sudan yatishia kumfukua mwakilishi wa kudumu wa UN, kisa, anaingilia mambo ya ndani

    Apr 02, 2022 02:49

    Kamanda wa jeshi la Sudan ametishia kumfukuza mwakilishi wa kudumu wa Umoja wa Mataifa mjini Khartoum.

  • Mapigano ya kikabila Darfur yasababisha vifo vya makumi ya watu

    Mapigano ya kikabila Darfur yasababisha vifo vya makumi ya watu

    Apr 01, 2022 05:55

    Mapigano makali kati ya makundi hasimu huko Darfur nchini Sudan yamesababisha takriban watu 45 kuuawa, huku viongozi wa kikabila wakiripoti kwamba mapigano hayo ni sehemu ya ghasia za kikabila zinazoendelea katika eneo hilo.

  • HRW: Polisi ya Misri inawakandamiza wakimbizi wa Sudan

    HRW: Polisi ya Misri inawakandamiza wakimbizi wa Sudan

    Mar 28, 2022 06:35

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeishutumu polisi kwa kuwazuilia kinyume cha sheria na kuwatesa makumi ya wakimbizi wa Sudan.

  • Sudan yakadhibisha madai ya kuwepo mamluki wa Russia nchini humo

    Sudan yakadhibisha madai ya kuwepo mamluki wa Russia nchini humo

    Mar 22, 2022 22:14

    Serikali ya Sudan imepuuzilia mbali madai ya Wamagharibi wanaodai kuwa, kuna mamluki wa Kundi la Wagner la Russia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS