-
Sudan na mahakama ya ICC zachunguza mapendekezo matatu kuhusu kesi ya al Bashir
Oct 19, 2020 23:44Serikali ya Sudan imetangaza kuwa inajadiliana na Mahakama ya Kimataiifa ya Jinai (ICC) mapendekezo matatu kuhusu jinsi ya kumfungulia mashtaka rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, na wenzake kadhaa kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu na jinai za kivita katika jimbo la Darfur.
-
Waziri Mkuu wa Sudan: Tunaunga mkono juhudi za kutekelezwa uadilifu
Oct 18, 2020 23:34Waziri Mkuu wa Sudan amesema katika mazungumzo yake na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwamba nchi yake inaheshimu juhudi za kutekeleza uadilifu duniani.
-
Bensouda kwenda Sudan, ataka al Bashir akabidhiwe kwa mahakama ya ICC
Oct 18, 2020 00:54Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) anatarajiwa kuelekea nchini Sudan kwa ajili ya kuchunguza suala la kukabidhiwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir kwa mahakama hiyo iliyoko The Hague nchini Uholanzi.
-
Sudan yaendelea kushinikizwa ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala wa Israel
Oct 17, 2020 03:49Sudan inaendelea kushinikizwa ili ianzishe uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel. Marekani imetangaza bayana kuwa, sharti la Sudan kuondolewa katika orodha ya nchi ambazo zinaunga mkono ugaidi ni nchi hiyo kukubali kuanza kufanya mazungumzo yenye lengo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia Sudan
Oct 16, 2020 03:54Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia huko mashariki mwa Sudan.
-
Serikali ya Sudan yaonywa kuhusu machafuko yatakayotokea ikianzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Oct 12, 2020 23:12Mkuu wa zamani wa Baraza la Fiqhi ya Kiislamu la Sudan ameonya kuwa machafuko yatatokea nchini humo endapo wananchi watalazimishwa kukubali nchi yao ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Sudan yaikosoa Marekani kwa kukwamishwa kufikiwa demokrasia huko Khartoum
Oct 12, 2020 04:05Waziri Mkuu wa Sudan ameituhumu Marekani kuwa inaikwamisha Sudan kufikia demokrasia.
-
Uamuzi wa Sudan wa kuondoa askari wake katika vita vya Yemen
Oct 11, 2020 03:39Katika hali ambayo Saudi Arabia inaendelea kupiga ngoma ya vita huko nchini Yemen, waitifaki wake katika muungano huo wa kijeshi hawako tayari tena kuvumilia siasa za kupenda vita za Riyadh na hivi sasa wamo mbioni kujiondoa katika muungano huo.
-
Serikali ya mpito Sudan yafikiria kujitoa kwenye vita vinavyoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen
Oct 10, 2020 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan amesema, serikali ya mpito ya nch hiyo inafanya juhudi kuhakikisha inawaondoa askari wa nchi hiyo wanaoshiriki kwenye muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Ikhwanul Muslimin Sudan yazikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 09, 2020 04:28Kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Sudan amekosoa hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, hatua hiyo ni usaliti kwa kadhia ya Palestina.