Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Ripoti: Wasudani hawaridhishwi na hukumu iliyotolewa dhidi ya Omar al Bashir

    Ripoti: Wasudani hawaridhishwi na hukumu iliyotolewa dhidi ya Omar al Bashir

    Dec 15, 2019 09:57

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wananchi wa Sudan hawakuridhishwa na hukumu ya kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho ya kitabia iliyotolewa dhidi ya kiongozi aliyeondolewa madarakani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma na ufisadi.

  • Al Bashir wa Sudan ahukumiwa kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho

    Al Bashir wa Sudan ahukumiwa kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho

    Dec 14, 2019 09:30

    Rais wa zamani wa Sudan Omar al Bashir amehukumiwa kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho ya kitabia baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha na ufisadi.

  • Sudan yatajwa kuwa kituo kikubwa kabisa cha Shirika la Ujasusi la Marekani CIA barani Afrika

    Sudan yatajwa kuwa kituo kikubwa kabisa cha Shirika la Ujasusi la Marekani CIA barani Afrika

    Dec 12, 2019 08:46

    Katibu Mkuu wa chama cha Kikomunisti nchini Sudan ameikosoa serikali kwa kuridhia ardhi ya nchi hiyo iwe makao ya kituo kikubwa kabisa cha Shirika la Ujasusi la Marekani CIA barani Afrika.

  • Waziri Mkuu wa Sudan: Tumepunguza askari wetu Yemen, tumebakisha wanajeshi elfu tano

    Waziri Mkuu wa Sudan: Tumepunguza askari wetu Yemen, tumebakisha wanajeshi elfu tano

    Dec 09, 2019 08:53

    Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok amesema, nchi yake imepunguza idadi ya askari wake walioko nchini Yemen kutoka 15,000 hadi 5,000 na kuthibitisha punguzo hilo la askari hao katika mgogoro ambao amesema hauwezi kutatuliwa kijeshi.

  • Kupunguzwa wanajeshi wa Sudan katika vita vya Yemen

    Kupunguzwa wanajeshi wa Sudan katika vita vya Yemen

    Dec 09, 2019 07:37

    Wanajeshi wa Sudan ni miongoni mwa askari vamizi wanaoendesha mauaji dhidii ya Waislamu wa Yemen tangu Saudi Arabia ilipoivamia nchi hiyo ya Kiarabu takriban miaka mitano iliyopita. Baada ya kupita miaka yote hiyo ya jinai dhidi ya wananchi maskini wa Yemen, wavamizi wa nchi hiyo sasa wanakiri kwamba njia pekee ya kumaliza vita hivyo ni mazungumzo.

  • Harakati ya Ansarullah yakaribisha kuondoka wanajeshi wa Sudan huko Yemen

    Harakati ya Ansarullah yakaribisha kuondoka wanajeshi wa Sudan huko Yemen

    Dec 08, 2019 23:08

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen ameunga mkono uamuzi wa Waziri Mkuu wa Sudan wa kuondoa wanajeshi wa nchi hiyo walioko Yemen.

  • Waziri Mkuu wa Sudan aazimia kuwaondoa askari wa nchi hiyo Yemen

    Waziri Mkuu wa Sudan aazimia kuwaondoa askari wa nchi hiyo Yemen

    Dec 07, 2019 03:49

    Waziri Mkuu mpya wa Sudan, Abdalla Hamdok ameeleza juu ya azma ya serikali yake ya kuviondoa kikamilifu vikosi vya askari wa nchi hiyo kutoka Yemen, akisisitiza kuwa taifa lake linapaswa tu kuunga mkono mchakato wa kisiasa wa kuupatia ufumbuzi mgogoro unaoikabili nchi hiyo maskini ya Kiarabu.

  • Mkasa wa moto katika kiwanda cha vigae waua 23 Sudan

    Mkasa wa moto katika kiwanda cha vigae waua 23 Sudan

    Dec 04, 2019 03:45

    Kwa akali watu 23 wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakijeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyokikumba kiwanda kimoja cha kutengeneza vigae katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.

  • Wasudan wataka askari wa nchi hiyo walioko Yemen warejeshwe nchini

    Wasudan wataka askari wa nchi hiyo walioko Yemen warejeshwe nchini

    Dec 03, 2019 23:32

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi wa Sudan tawi la kaskazini ametoa wito wa kurejeshwa nyumbani wanajeshi wa Sudan wanaopigana kwa niaba ya Sudi Arabia nchini Yemen.

  • Yamkini Bashir akanyongwa kutokana na mapinduzi yaliyomleta madarakani Sudan

    Yamkini Bashir akanyongwa kutokana na mapinduzi yaliyomleta madarakani Sudan

    Dec 02, 2019 03:58

    Rais wa Sudan aliyetimuliwa madarakani Omar al Bashir anaweza kuhukumiwa kunyongwa kutokana na kuhusika katika mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1989 ambayo yalimleta madarakani na kuiangusha serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Sadiq al Mahdi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS