-
Waziri Mkuu wa Sudan aelekea Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo
Dec 01, 2019 23:07Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ameelekea mjini Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Marekani na kuondolewa jina la nchi hiyo kwenye orodha ya wafadhili na waungaji mkono wa ugaidi.
-
Sudan yapasisha sheria ya kufutiliwa mbali utawala na chama cha al Bashir
Nov 29, 2019 03:24Serikali ya mpito ya Sudan imepasisha rasmi sheria ya kuvunjilia mbali utawala wa rais aliyeondolewa madarakani wa nchi hiyo, Omar al bashir na chama chake.
-
Bunge la Waarabu laitaka Marekani iiondoe Sudan katika orodha ya ugaidi
Nov 25, 2019 08:46Bunge la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu limeitaka Marekani iiondoe Sudan kwenye orodha ya Washington ya eti nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Jumuiya kuu ya wapinzani wa Sudan yaponda matamshi ya Mkuu wa Baraza la Utawala
Nov 24, 2019 23:21Kundi kuu la wapinzani nchini Sudan limekosoa vikali matamshi yaliyotolewa na Mkuu wa Baraza la Utawala nchini humo, Abdel Fattah al-Burhan aliyedai kuwa Saudi Arabia na Imarati zimekuwa zikiisaidia sana nchi hiyo tangu ilipopata uhuru.
-
Al-Burhan: Kutoondolewa jina la Sudan katika orodha ya ugaidi kunakatisha tamaa
Nov 23, 2019 23:45Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan amesema kuwa, kutoondolewa jina la nchi hiyo katika orodha ya ugaidi, kumewakatisha tamaa raia wa nchi hiyo.
-
SAUTI, Mufti wa Uganda: Viongozi hasimu Sudan Kusini wajue kuwa watakufa na kuiacha nchi hiyo kwa wengine
Nov 22, 2019 12:43Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Mubaje amewataka viongozi wa Sudan Kusini kukaa pamoja kwenye meza ya mazungumzo na kutatua hitilafu zao kwa maslahi ya nchi hiyo change zaidi barani Afrika.
-
Polisi ya Sudan yawatia mbaroni viongozi wa chama cha Kongresi ya Wananchi
Nov 21, 2019 08:28Jeshi la polisi nchini Sudan limemtia mbaroni Katibu Mkuu wa Chama cha Kongresi ya Wananchi akiwa nyumbani kwake kusini mwa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Sudan yaakhirisha mazungumzo na makundi ya waasi
Nov 20, 2019 03:27Serikali ya Sudan imekubali ombi mla kuakhirisha hadi mwezi ujao mazungumzo ya amani kati yake na makundi ya waasi wanaobeba silaha yaliyotazamiwa kufanyika kesho Alkhamisi kufuatia ombi la timu ya wapatanishi.
-
Waziri Mkuu wa Sudan afanya mashauriano ili kuinasua nchi hiyo na vikwazo vya Marekani
Nov 12, 2019 08:40Waziri Mkuu wa Sudan amelazimika kuukimbilia Umoja wa Ulaya katika juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake uliosababishwa na vikwazo vya Marekani.
-
UN: Imarati, Sudan na Jordan ziliwapa wapiganaji wa Haftar silaha
Nov 10, 2019 04:01Rasimu ya ripoti ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu, Sudan na Jordan zimekiuka vikwazo vya silaha vya umoja huo kwa kulipa silaha kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Jenerali mstaafu Khalifa Haftar.