-
Mtu mmoja auawa katika maandamano ya Wasudan eneo la Darfur
May 05, 2019 09:54Mtu mmoja amepoteza maisha hii leo kutokana na majeraha ya risasi aliyofyatuliwa hapo jana katika maandamano ya wananchi wa Sudan, ya kulishinikiza Baraza la Mpito la Kijeshi likabidhi madaraka kwa raia.
-
Baraza la Kijeshi Sudan lakataa pendekezo la muundo wa Baraza la Utawala wa Mpito
May 04, 2019 10:49Baraza la Kijeshi linalotawala nchini Sudan limekataa pendekezo la muundo wa Baraza la Utawala litakalokuwa na wanajeshi watatu na raia saba kwa ajili ya kuongoza kipindi cha mpito.
-
Wapinzani Sudan: Baraza la Kijeshi linafanya jitihada za kung'ang'ania madaraka
May 02, 2019 09:07Makundi ya kisiasa nchini Sudan yamelituhumu Baraza la Kijeshi la Mpito kwamba linakusudia kuendelea kushikilia madaraka kwa kisingizio cha kudhamini usalama wa nchi hiyo.
-
Onyo la Baraza la Kijeshi la Sudan kwa wapinzani
Apr 30, 2019 22:03Naibu mkuu wa Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan amesema kuwa kuna wanachama wa makundi ya wabeba silaha wanaoshiriki katika maandamano yanayoendelea nchini Sudan dhidi ya baraza hilo na kuonya kwamba subira ya baraza hilo ina mwisho wake.
-
Je, kuundwa Baraza la Utawala nchini Sudan ni hatua kuelekea raia kukabidhiwa madaraka?
Apr 29, 2019 02:21Baada ya wiki kadhaa za malalamiko ya wananchi nchini Sudan na kushindwa Baraza la Kijeshi la nchi hiyo kuhitimisha malalamiko hayo, hatimaye kikao cha kwanza cha Baraza la Kijeshi nchini humo kimefanyika kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa makundi ya upinzani na viongozi wa waandamanaji.
-
Kiongozi wa upinzani Sudan ataka nchi hiyo ijiunge na ICC
Apr 27, 2019 23:20Kiongozi wa upinzani nchini Sudan amesema nchi hiyo inapaswa kujiunga na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) mara moja.
-
Wasudan waendeleza maandamano ya kushinikiza utawala wa kiraia
Apr 26, 2019 09:52Maelfu ya wananchi wa Sudan wamesali Sala ya Ijumaa nje ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo mjini Khartoum, siku moja baada ya maandamano makubwa kushuhudiwa katika kona mbalimbali za mji mkuu huo, kulishinikiza jeshi likabidhi madaraka kwa raia.
-
Wakuu wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan wajiuzulu
Apr 25, 2019 03:17Viongozi watatu kati ya 10 wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan wametangaza kujiuzulu, huku wananchi wa nchi hiyo wakitazamiwa kuendelea na maandamano yao leo Alkhamisi, kulishinikiza jeshi likabidhi madaraka kwa raia.
-
Takwa la Wasudan la kutaka Baraza la Kijeshi Sudan liondoe askari wa nchi hiyo vitani Yemen
Apr 22, 2019 23:49Wananchi wa Sudan wameandamana wakilalamikia hatua ya nchi yao kushiriki katika muungano wa Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya Yemen.
-
Viongozi wa maandamano Sudan wasimamisha mazungumzo na jeshi
Apr 22, 2019 02:52Viongozi wa maandamano ya wananchi nchini Sudan wamesema wamesimamisha mazungumzo na Baraza la Mpito la Kijeshi huku wakitoa wito kwa Wasudan kuendeleza maandamano nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum na miji mingine.