Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Mkuu wa Shirika la Kijasusi Sudan ajiuzulu, maandamano yaendelea

    Mkuu wa Shirika la Kijasusi Sudan ajiuzulu, maandamano yaendelea

    Apr 13, 2019 10:57

    Mkuu wa Shirika la Kijasusi Sudan amejiuzulu siku moja tu baada ya waziri wa ulinzi kujiuzulu kama kiongozi wa muda kufuatia kupinduliwa Rais Omar al Bashir Alkhamisi huku maandamano yakiendelea kote nchini humo.

  • Wapinzani Sudan watangaza masharti matatu ya kumaliza mgomo na maandamano ya wananchi

    Wapinzani Sudan watangaza masharti matatu ya kumaliza mgomo na maandamano ya wananchi

    Apr 13, 2019 09:07

    Wapinzani nchini Sudan wametoa masharti matatu ya kumaliza mgomo na maandamano nchini humo hasa kukusanyika waandamanaji mbele ya makao ya Komandi Kuu ya Majeshi ya nchi hiyo.

  • Mapinduzi nchini Sudan, kupanuka mgogoro wa kisiasa

    Mapinduzi nchini Sudan, kupanuka mgogoro wa kisiasa

    Apr 13, 2019 03:48

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan umeingia katika hatua mpya, kufuatia mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Omar Hassan al-Bashir Rais wa nchi hiyo na kuchukua jeshi hilo hatamu za uongozi wa nchi hiyo.

  • Polisi: Watu 16 wameuawa kwa risasi katika maandamano nchini Sudan

    Polisi: Watu 16 wameuawa kwa risasi katika maandamano nchini Sudan

    Apr 13, 2019 03:39

    Polisi nchini Sudan imesema kuwa, kwa akali watu 16 wameuawa huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa katika maandamano ya Alkhamisi na jana Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.

  • Jenerali aliyemrithi Omar al-Bashir ajiuzulu pia, maandamano yashtadi Sudan

    Jenerali aliyemrithi Omar al-Bashir ajiuzulu pia, maandamano yashtadi Sudan

    Apr 12, 2019 23:37

    Jenerali Awad Mohamed Ahmad Ibn Auf, Waziri wa Ulinzi wa Sudan aliyetangazwa kuwa Kaimu Rais baada ya Omar al-Bashir kung'olewa madarakani naye ametangaza kujiuzulu, baada ya makumi ya maelfu ya Wasudani kuendeleza maandamano wakitaka makabidhiano ya kiraia ya uongozi.

  • Jeshi la Sudan lasema halitamkabidhi Omar al-Bashir kwa ICC

    Jeshi la Sudan lasema halitamkabidhi Omar al-Bashir kwa ICC

    Apr 12, 2019 20:46

    Baraza la Kijeshi la Mpito linaloshikilia hatamu za uongozi nchini Sudan limepuuzilia mbali mwito wa kumkabidhi Omar al-Bashir kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, likisisitiza kuwa yumkini rais huyo aliyeng'olewa madarakani akafunguliwa mashitaka nchini humo.

  • Iran yaziasa pande husika Sudan kujizuia, kutumia mazungumzo kupatia ufumbuzi mgogoro uliopo

    Iran yaziasa pande husika Sudan kujizuia, kutumia mazungumzo kupatia ufumbuzi mgogoro uliopo

    Apr 12, 2019 10:36

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa haiungi mkono upande wowote katika mgogoro wa hivi sasa wa Sudan, huku ikiziasa pande husika nchini humo kujizuia na kutumia njia ya mazungumzo, amani na diplomasia kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo.

  • Human Rights Watch: Bado kuna udharura wa jeshi la Sudan kuzingatia matakwa ya wananchi wanaoandamana

    Human Rights Watch: Bado kuna udharura wa jeshi la Sudan kuzingatia matakwa ya wananchi wanaoandamana

    Apr 12, 2019 03:24

    Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesisitizia udharura wa kuzingatiwa matakwa ya wananchi na waandamanaji nchini Sudan.

  • Kushadidi mgogoro wa Sudan

    Kushadidi mgogoro wa Sudan

    Apr 09, 2019 21:53

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan umeendelea kuchukua wigo mpana kufuatia kuendelea maandamano ya wananchi wa nchi hiyo.

  • Serikali ya Sudan yatishia kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo

    Serikali ya Sudan yatishia kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo

    Apr 08, 2019 10:28

    Serikali ya Sudan imetahadharisha kuhusu kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo na kugawanyika mapande mawili muundo wa kisiasa wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS