Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Watu wengine 5 wauawa katika maandamano ya Sudan

    Watu wengine 5 wauawa katika maandamano ya Sudan

    Apr 08, 2019 03:27

    Kwa akali watu watano wameuawa na maafisa usalama ndani ya masaa 48 yaliyopita, huku maandamano ya kumtaka Rais Omar al Bashir ajiuzulu yakichachamaa nchini Sudan.

  • Maelefu waandamana nje ya nyumba ya Rais Bashir wa Sudan

    Maelefu waandamana nje ya nyumba ya Rais Bashir wa Sudan

    Apr 07, 2019 23:36

    Maelfu ya Wasudan jana kwa siku ya pili mfululizo wameendeleza maandamano yao nje ya nyumba ya Rais Omar al Bashir wa nchi hiyo katika eneo la kati mwa Sudan.

  • Watu 60 wameuawa katika ghasia na maandamano nchini Sudan

    Watu 60 wameuawa katika ghasia na maandamano nchini Sudan

    Apr 07, 2019 02:42

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Physicians for Human Rights limesema kuwa, watu wasiopungua 60 wameuliwa na maafisa usalama nchini Sudan katika kipindi cha miezi mitatu ya ghasia na maandamano dhidi ya serikali.

  • Kiongozi wa upinzani Sudan amtaka Rais Bashir ajiuzulu

    Kiongozi wa upinzani Sudan amtaka Rais Bashir ajiuzulu

    Apr 06, 2019 03:20

    Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Sudan amemtaka Rais Omar Hassan al-Bashir wa nchi hiyo ajiuzulu.

  • Maandamano yaendelea Sudan, polisi wapambana na waandamanaji

    Maandamano yaendelea Sudan, polisi wapambana na waandamanaji

    Apr 04, 2019 10:24

    Polisi ya Sudan imekabiliana na waandamanaji waliokuwa wakiandamana dhidi ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na maeneo ya kando kando na mji mkuu huo.

  • Rais wa Sudan: Matakwa ya wananchi wanaoandamana ni halali

    Rais wa Sudan: Matakwa ya wananchi wanaoandamana ni halali

    Apr 01, 2019 20:24

    Rais Omar al Bashir wa Sudan amekiri kuwa matakwa yanayoshinikizwa na wananchi wa nchi hiyo ambao wamekuwa wakishiriki maandamano dhidi ya serikali kwa miezi kadhaa sasa ni halali.

  • Waziri: Hakuna mgogoro wa kisiasa Sudan, yaliyoko ni matatizo ya kiuchumi

    Waziri: Hakuna mgogoro wa kisiasa Sudan, yaliyoko ni matatizo ya kiuchumi

    Mar 26, 2019 03:05

    Waziri wa Habari wa Sudan amesema hakuna mgogoro wa kisiasa katika nchi hiyo, bali kinachoshuhudiwa ni changamoto za kiuchumi.

  • Makumi ya wanahabari waandamana Sudan kulalamikia ukandamizaji wa al-Bashir

    Makumi ya wanahabari waandamana Sudan kulalamikia ukandamizaji wa al-Bashir

    Mar 25, 2019 09:57

    Makumi ya wanahabari wameandamana leo katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum wakitaka kuachiliwa huru Osman Mirghani, Mhariri Mkuu wa gazeti mashuhuri la al-Tayar na kulalamikia ukandamizaji wa vyombo vya usalama dhidi ya waandamanaji.

  • Watoto 10 wapoteza maisha katika mlipuko Omdurman, Sudan

    Watoto 10 wapoteza maisha katika mlipuko Omdurman, Sudan

    Mar 24, 2019 19:43

    Watoto wasipungua 10 wamepoteza maisha baada ya chombo kisichojulikana kulipuka katika mji wa Omdurman karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum.

  • Maelfu ya watu wanahitaji kuokolewa Msumbiji baada ya kimbunga cha Idai

    Maelfu ya watu wanahitaji kuokolewa Msumbiji baada ya kimbunga cha Idai

    Mar 22, 2019 03:47

    Habari kutoka nchini Msumbiji zinasema kuwa, watu zaidi ya 15,000 wanahitaji kuokolewa haraka na kupewa hifadhi kufuatia kimbunga cha Idai kilichotokea hivi karibuni nchini humo na kusababisha vifo vya mamia ya watu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS