-
Propaganda za kitoto za Marekani dhidi ya Syria
Jun 27, 2017 21:44Mapema jana asubuhi, Ikulu ya Marekani (White House) ilitoa tamko lisilo na mashiko ikidai kuwa serikali ya Syria ina nia ya kufanya shambulio la silaha za kemikali.
-
Macron: Si muhimu sasa suala la kuondolewa Assad madarakani huko Syria
Jun 22, 2017 03:33Rais wa Ufaransa amesema kuwa, suala la kuondolewa madarakani Rais Bashar Assad wa Syria halipewi tena kipaumbele kwa ajili ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo katika mtazamo wa Ufaransa.
-
Mshauri wa Bashar al Assad: Syria haijaiacha pekee yake Palestina
Jun 21, 2017 23:50Mshauri wa Rais wa Syria amesema kuwa maadui walitumia stratejia zao zote dhidi ya Syria, hata hivyo hawakufikiria kwamba Iran, Russia na Harakati ya Hizbullah zingesimama imara mbele ya stratejia hizo na kutoa pigo.
-
Kombora moja la IRGC liliwaangamiza magaidi 15 wa ISIS wakiwemo makamanda
Jun 20, 2017 09:00Huku taarifa za hasara walizopata magaidi wa kundi la kitakfiri la ISIS au Daesh kufuatia hujuma ya makombora ya sita ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC huko Deir Ezzor nchini Syria zikiendelea kubainika, ripoti za hivi karibuni zinasema kombora moja liliangamiza magaidi 15.
-
Kichapo cha makombora ya Iran kwa magaidi wa Daesh (ISIS) katika eneo la Deir Ezzor, Syria
Jun 20, 2017 01:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) Jumapili usiku lilishambulia kwa makombora sita ya masafa ya kati ya ardhini kwa ardhini kamandi ya kijeshi ya magaidi wa kitakfiri wa Daesh (ISIS) katika eneo la Deir Ezzor mashariki mwa Syria.
-
Kombora moja tu la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran limewaangamiza Madaesh 50
Jun 19, 2017 22:43Duru katika medani za vita zimetangaza kuwa zaidi ya magaidi 50 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) waliangamizwa baada ya kombora moja kati ya sita ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kulenga kamandi ya kijeshi ya kundi hilo katika mji wa Al-Mayadin ulioko kwenye viunga vya Deir Ezzor mashariki mwa Syria.
-
Iran yavurumisha makombora ya balistiki hadi ngome za ISIS nchini Syria+VIDEO
Jun 18, 2017 23:31Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC limetangaza kuvurumisha makombora kadhaa ya balistiki hadi katika ngome ya magaidi wa ISIS katika eneo la Deir Ezzor nchini Syria kama njia ya kuwaadhibu magaidi waliohusika na hujuma za hivi karibuni mjini Tehran.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Israel inaunga mkono magaidi
Jun 16, 2017 03:49Katibu Mkuu wa Umoja wa maraufa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatoa himaya na uungaji mkono kwa makundi ya kigaidi likiwemo la Jabhat al-Nusra linaloendesha harakati zake huko nchini Syria.
-
Syria: Sababu ya kutokea mashambulio ya kigaidi mjini Tehran hii hapa
Jun 14, 2017 11:06Balozi wa Syria nchini Iraq amesema kuwa, sababu kuu ya kutokea mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran, ni kutokana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa nchi pekee iliyosimama kikweli na wananchi na serikali za Iraq na Syria kupambana na magenge ya kigaidi yaliyozivamia nchini hizo.
-
Jumapili, Juni 11, 2017
Jun 11, 2017 00:18Leo ni Jumapili tarehe 16 Ramadhan mwaka 14384 Hijria, sawa na tarehe 11 Juni 2017 Miladia.