-
Kuridhishwa De Mistura na usitishaji vita; mustakabali wa Assad uko mikononi mwa wananchi wa Syria
Sep 16, 2016 09:39Staffan de Mistura, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema lengo la makubaliano baina ya Marekani na Russia ya kusitishwa vita nchini Syria ni kuwezesha kufikishwa na misaada kwa raia wa nchi hiyo.
-
Russia yatahadharisha kuhusu kuchelewa kuanza tena mazungumzo ya Syria
Sep 13, 2016 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuchelewa kuanza tena mazungumzo ya Syria ni jambo lisilokubalika.
-
Saudia yazuia Wasyria kuhiji kwa mwaka wa tano mfululizo
Sep 12, 2016 02:12Utawala wa ukoo wa Aal Saud kwa mwaka wa tano mfululizo umewazuia Mahujaji kutoka Syria kuingia Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Hija.
-
Iran yalaani miripuko ya kigaidi huko Syria
Sep 06, 2016 03:03Bahram Qassemi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na magaidi watenda jinai wa kitakfiri na waungaji mkono wao wa Kiwahabi kwa kuwalenga raia wasio na hatia huko Syria, vinaonyesha kutokuwa na uwezo na kushindwa magaidi hao katika mapambano ya kijeshi na jinsi walivyo na ndoto tupu za kisiasa katika eneo hili.
-
Hizbullah ya Lebanon: Hali ilivyo ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa Syria
Sep 04, 2016 23:53Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema hali ilivyo hivi sasa nchini Syria ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa nchi hiyo.
-
'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'
Sep 01, 2016 11:08Mwanaharakati mmoja wa Misri amesema kuwa, Syria ni katika mataifa ya kujivunia ya ulimwengu wa Kiislamu na kujilinda na kusimama kidete nchi hiyo ni heshima kwa umma wa Kiislamu.
-
Ripoti: Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 Syria
Aug 24, 2016 23:48Mashambulio ya anga yaliyofanywa na kile kinachoitwa Muungano wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 nchini Syria tangu muungano huo ulipoanzisha operesheni zake hizo mwishoni mwa mwaka 2014.
-
Serikali ya Damascus: Operesheni ya kijeshi ya Uturuki ndani ya ardhi ya Syria ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala
Aug 24, 2016 10:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani operesheni ya kijeshi ya Uturuki iliyopewa jina la Ngao ya Euphrates huko kaskazini mwa Syria na kueleza kuwa uingiliaji huo wa kijeshi wa Ankara ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Russia yasisitizia mazungumzo chanya baina yake na Iran na Uturuki kuhusu Syria
Aug 19, 2016 03:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, mazungumzo ya pande tatu yanayoendelea baina ya nchi hiyo na Iran na Uturuki kuhusu Syria ni yenye taathira chanya.
-
Ushirikiano wa kistratijia wa Iran na Russia katika kupambana na DAESH Syria na makelele ya Marekani
Aug 18, 2016 22:21Wizara ya Ulinzi ya Russia, siku chache zilizopita ilitangaza kupitia taarifa kuwa ndege za kivita za masafa marefu za nchi hiyo zimeruka kutokea kituo kimoja cha jeshi la anga la Iran na kufanya mashambulio dhidi ya ngome za makundi ya kigaidi ya Daesh na Jabhatu-Nusra (Fat-hu Sham).