Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh

    Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh

    Aug 17, 2016 02:42

    Baghdad imesema kuwa Russia imeruhusiwa kwa masharti kutumia anga ya Iraq kuendesha mashambulizi dhidi ya kundi la Daesh huko Syria.

  • Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria

    Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria

    Aug 05, 2016 23:18

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Deir Ez-Zour, mashariki mwa nchi mapema jana Ijumaa.

  • Assad: Wamagharibi hawawezi kuvumilia uhuru wa Syria

    Assad: Wamagharibi hawawezi kuvumilia uhuru wa Syria

    Jul 27, 2016 03:09

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema nchi za Magharibi zimeshindwa kuvumilia uhuru wa kujitawala Syria na ndiposa zikaanza kuunga mkono harakati za kigaidi nchini humo.

  • UN, Amnesty zalaani kuuawa watoto wa Syria na ndege za vita za Marekani

    UN, Amnesty zalaani kuuawa watoto wa Syria na ndege za vita za Marekani

    Jul 21, 2016 23:47

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umelaani vikali mauaji ya watoto wadogo katika hujuma ya anga ya ndege za Marekani kaskazini mwa Syria.

  • Assad: Nitakumbukwa kama muokozi wa uhuru wa Syria

    Assad: Nitakumbukwa kama muokozi wa uhuru wa Syria

    Jul 14, 2016 11:22

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kwamba, anataraji kuwa historia itamkumbuka kama kiongozi aliyesimama kidete kutetea uhuru wa kujitawala nchi yake mbele ya chokochoko za mabeberu.

  • 'Waziri wa Vita' wa ISIS athibitishwa kuangamizwa

    'Waziri wa Vita' wa ISIS athibitishwa kuangamizwa

    Jul 14, 2016 02:03

    Kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limethibitisha kuangamizwa kamanda wake wa ngazi za juu, Omar al-Shishani, ambaye inasemekana aliuawa mwezi Machi.

  • Jeshi la Syria latangaza usitishwaji Vita Idul Fitr

    Jeshi la Syria latangaza usitishwaji Vita Idul Fitr

    Jul 06, 2016 23:52

    Jeshi la Syria limetangaza usitishwaji vita wa masaa 72 kote katika nchi hiyo kwa munasaba wa Siku Kuu ya Idul Fitr.

  • Rais wa Syria akosoa misimamo ya kindumakuwili ya Magharibi

    Rais wa Syria akosoa misimamo ya kindumakuwili ya Magharibi

    Jun 30, 2016 08:34

    Rais wa Syria amezikosoa nchi za Magharibi kwa kutekeleza siasa za kindumakuwili kuhusu nchi yake.

  • Wazayuni wanaona bora Daesh kuliko Bashar al Assad

    Wazayuni wanaona bora Daesh kuliko Bashar al Assad

    Jun 23, 2016 11:23

    Shirika la ujasusi wa kijeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kwa njia isiyo ya moja kwa moja uungaji mkono wake kwa genge la kitakfiri la Daesh na kutangaza kuwa, kundi hilo ni bora kwa utawala huo kulikoni serikali ya Rais Bashar al Assad huko Syria.

  • UN: Zaidi ya madaktari na wauguzi 700 wameuawa Syria

    UN: Zaidi ya madaktari na wauguzi 700 wameuawa Syria

    Jun 21, 2016 23:35

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa madaktari na wauguzi zaidi ya 700 wameuawa nchini Syria tangu nchi hiyo iliposhambuliwa na mamluki wanaosaidiwa na nchi kadhaa za kigeni miaka mitano iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS