Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Amri ya Rais Putin ya kuondoka vikosi vya jeshi la Russia nchini Syria

    Amri ya Rais Putin ya kuondoka vikosi vya jeshi la Russia nchini Syria

    Mar 15, 2016 12:16

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana alitoa amri ya kuanza kuondoka vikosi vya jeshi la nchi hiyo vilivyoko nchini Syria.

  • Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri

    Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri

    Mar 15, 2016 11:27

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametaja hatua ya Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria kuwa ni ishara nzuri.

  • Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria

    Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria

    Mar 15, 2016 03:37

    Ofisi ya Rais wa Syria imetangaza kuwa marais wa Russia na Syria wamekubaliana kupunguzwa idadi ya vituo vya anga vya vya jeshi la Russia nchini humo.

  • Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria

    Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria

    Mar 11, 2016 23:03

    Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.

  • Mwangwi wa ushindi wa jeshi la Syria dhidi ya makundi ya kigaidi

    Mwangwi wa ushindi wa jeshi la Syria dhidi ya makundi ya kigaidi

    Mar 09, 2016 13:10

    Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa njama za baadhi ya nchi za Magharibi na za Kiarabu za kuigawa Syria zimegonga mwamba.

  • Mpwa wa Kennedy: Sababu ya Marekani ya kutaka kumpindua Rais wa Syria ni bomba la gesi la Qatar

    Mpwa wa Kennedy: Sababu ya Marekani ya kutaka kumpindua Rais wa Syria ni bomba la gesi la Qatar

    Mar 03, 2016 23:19

    Mpwa wa Rais wa zamani wa Marekani, John F. Kennedy ambaye ni mwanasheria amesema kuwa, sababu iliyoifanya Marekani ishiriki katika kampeni za kumpindua Rais halali wa Syria aliyechaguliwa kidemokrasia, ni mradi wa gesi wa Qatar.

  • Lavrov aitaka Uturuki kukoma kutuma silaha kwa makundi ya kigaidi Syria

    Lavrov aitaka Uturuki kukoma kutuma silaha kwa makundi ya kigaidi Syria

    Mar 02, 2016 03:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametaka kuchukuliwe hatua za kuzuia magendo ya silaha kutoka Uturuki kwenda Syria ambako zinatumiwa na makundi ya kigaidi.

  • Magaidi 450 wa Daesh waangamizwa Aleppo, Syria

    Magaidi 450 wa Daesh waangamizwa Aleppo, Syria

    Mar 01, 2016 23:19

    Mamia kadhaa ya magaidi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameangamizwa katika operesheni ya mashambulio iliyofanywa na jeshi la Syria katika kiunga cha mji wa Aleppo.

  • Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS

    Saudia, Uturuki ni waungaji mkono wakuu wa ISIS

    Feb 26, 2016 23:32

    Mshauri wa Rais wa Syria amesema kuwa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh linaweza kuangamizwa haraka iwapo baadhi ya nchi za eneo hasa Uturuki na Saudi Arabia zitaacha kuliunga mkono kifedha na kisiasa kundi hilo la wakufurishaji.

  • Russia: Wasyria wenyewe watainisha hatima ya nchi yao

    Russia: Wasyria wenyewe watainisha hatima ya nchi yao

    Feb 25, 2016 23:36

    Spika wa Bunge la Duma la Russia amesema kuwa hakuna nchi yenye haki ya kuainisha hatima ya Syria badala ya Wasyria wenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS