-
Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya
Jun 13, 2022 05:44Balozi wa Russia nchini Syria amelaani vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Iran yakosoa shambulio la Israel dhidi ya Damascus, mji mkuu wa Syria
Jun 11, 2022 05:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono taifa hilo la Kiarabu.
-
Russia yalaani shambulio la Israel katika uwanja wa ndege wa Damascus Syria
Jun 11, 2022 02:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani jinai ya utawala wa Kizayuni ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Syria yawaachia huru mamia ya wafungwa
May 03, 2022 22:40Wizara ya Sheria ya Syria imetangaza kuwa, serikali imewaachia huru mamia ya wafungwa waliokuwa wakituhumiwa kuwa na mfungamano na makundi ya kigaidi na kitakfiri na au kushiriki katika hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli
May 02, 2022 06:11Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo haina ukweli wowote.
-
Milipuko yaripotiwa karibu na kambi ya askari vamizi wa Marekani huko Syria
May 01, 2022 04:52Milipuko kadhaa imeripotiwa karibu na kambi kubwa zaidi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Faisal Miqdad: Marekani na nchi za Magharibi zinafanya njama za kuangamiza suala la Palestina
Apr 22, 2022 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kula njama za kuvuruga na kuharibu kadhia ya ukombozi wa Palestina na haki thabiti za watu wake, hususan haki ya wakimbizi wa Kipalestina kurejea katika nchi yao na kuongeza kuwa, Damascus inafuatilia kwa wasiwas matukio hatari yanayojiri huko Quds ( Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wamorocco, Wabahrain, Waturuki waandamana kuitetea Aqsa, Syria, Kuwait zatoa kauli
Apr 17, 2022 03:47Wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Rabat kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, sanjari na kulaani kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kuuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa.
-
Jumapili, tarehe 17 Aprili, 2022
Apr 16, 2022 21:51Leo ni Jumapili tarehe 15 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprili 17 mwaka 2022.
-
Marekani yafanya mazoezi ya kijeshi Syria kinyume cha sheria
Apr 10, 2022 03:16Askari wa Jeshi la Marekani wamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na kundi la wanamgambo wanaojulikana kama Kurdish-Arab Syrian Democratic Forces (SDF) katika kisima cha mafuta cha Al-Omar katika eneo la Deir Ez-Zor katika ardhi ya Syria.