-
Russia: Magaidi wanapanga kufanya 'shambulio bandia la kemikali' Syria
Mar 09, 2021 07:15Serikali ya Russia imetahadharisha kuwa, kuna mpango wa kufanywa shambulizi bandia la silaha za kemikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Syria yatuma barua mbili kwa Baraza la Usalama katika kipindi cha masaa 72
Mar 04, 2021 00:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetuma barua mbili katika kipindi cha masaa 72 kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kulalamikia hujuma dhidi ya mji wa Damascus.
-
Marekani yazidi kujiimarisha kijeshi nchini Syria
Mar 01, 2021 03:20Duru mbalimbali za Syria zimetangaza habari ya kuzidi wanajeshi magaidi wa Marekani, kujiimarisha ndani ya ardhi ya Syria. Duru hizo zimesema, msafara mwingine wa wanajeshi magaidi wa Marekani umevuka Iraq na kujizatiti katika viunga vya al Hasakah, huko kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Shambulizi la anga la Marekani huko Syria, nembo ya kupenda vita ya serikali ya Biden
Feb 27, 2021 05:37Mwaka 2014 Marekani ilituma majeshi yake kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na majeshi hayo yamebakia nchini humo hadi sasa licha ya wito wa mara kwa mara wa serikali ya Damascus wa kutaka kuondoka majeshi hayo vamizi katika ardhi yake.
-
Russia: Mashambulio ya Marekani Syria ni ukiukaji wa kanuni na sheria za kimataifa
Feb 26, 2021 09:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani mashambulizi ya usiku wa kuamikia leo ya Marekani huko Syria na kuyataja kuwa ni kinyume na kanuni na sheria za kimataifa.
-
Marekani yashambulia makundi yanayopambana na ugaidi mpakani mwa Iraq na Syria
Feb 26, 2021 04:30Jeshi la Marekani kwa amri ya Rais Joe Biden limefanya mashambulizi ya anga yaliyolenga kambi za makundi ya muqawama yanayopambana na magenge ya kigaidi katika mpaka wa Iraq na Syria.
-
Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu: Sehemu kubwa ya Madaesh wa kujiripua wameingia Iraq kutokea Syria
Feb 22, 2021 23:14Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu katika mkoa wa Diyala nchini Iraq amesema kuwa, sehemu kubwa ya magaidi wa Daesh (ISIS) wa kujiripua kwa mabomu wameingia nchini Iraq wakitokea Syria.
-
Mbunge: Marekani inaunga mkono magaidi katika nchi za Syria na Iraq
Feb 06, 2021 23:12Mbunge mmoja wa Syria amesema kuwa serikali ya Marekani inahusika katika ongezeko la hujuma za kigaidi nchini Syria na Iraq.
-
Kamati ya Katiba ya Syria yamaliza kikao chake cha tano bila mafanikio
Feb 03, 2021 05:05Kikao cha Tano cha Kamati ya Kuandika Katiba ya Syria kimemalizika baada ya kufanyika kwa muda wa siku tano bila kufikia natija yoyote ya maana huko Geneva, Uswisi.
-
Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria
Feb 01, 2021 23:30Duru mbalimbali za habari zimearifu kuwa, silaha na zana za kilojistiki za wanajaeshi magaidi wa Marekani zimeonekana zikiingizwa katika maidani ya mafuta huko Koniko kaskazini mashariki mwa Deir Zor.