-
Syria yasisitiza ulazima wa kuweko umoja kwa ajili ya kukabilianan na ugaidi
Jan 22, 2021 04:48Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea jana katika mji mkuu wa Iraq Baghdad na kusisitiza ulazima wa kuweko umoja na mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Mbali na mafuta, Marekani sasa inaiba mazao ya mashamba ya Wasyria
Jan 18, 2021 08:26Sambamba na kuendelea wizi wa mafuta ya Syria unaofanywa na wanajeshi magaidi wa Marekani, askari hao vamizi sasa wameanza kupora mazao ya mashamba ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mshauri wa Rais wa Syria: Qassem Suleimani alikuwa kamanda wa nyoyo na mpamabanaji wa njia ya ukombozi
Jan 07, 2021 23:12Mshauri maalumu wa Rais Bashar al Assad wa Syria amesema, shahidi Qassem Suleimani alikuwa mpigania uadilifu kwa ajili ya wanadamu na mpambanaji wa njia ya ukombozi.
-
Marekani inaunda 'ISIS 2' katika nchi za Syria na Iraq
Dec 27, 2020 20:50Ushahidi mpya umefichua kuwa, vyombo vya usalama vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel vipo mbioni kuzalisha kizazi kipya cha genge la kigaidi katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Kupitishwa maazimio 17 ya Baraza la Kuu la UN dhidi ya Israel katika mwaka 2020
Dec 26, 2020 23:02Utawala wa Kizayuni ni utawala pekee uliolaaniwa na Umoja wa Mataifa mara tatu zaidi ya nchi nyingine zote duniani katika mwaka huu wa 2020. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha jumla ya maazimio 17 dhidi ya Israel katika mwaka huu wa 2020.
-
Jumapili, 27 Desemba, 2020
Dec 26, 2020 23:01Leo ni Jumapili tarehe 12 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 27 Desemba 2020 Miladia.
-
Syria yataka Baraza la Usalama lizuie hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 26, 2020 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema imekosoa uungaji mkono wa baadhi ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel na imetaka baraza hilo lichukue hatua za kivitendo kuzuia hujuma hizo za utawala wa Kizayuni.
-
Mshauri wa Assad ataka jeshi vamizi la Marekani liondoke Syria
Dec 20, 2020 03:41Mshauri wa Rais Bashar al Assad wa Syria amelaani vikali Marekani kwa kuikalia kwa mabavu nchi yake na kupora utajiri wake wa mafuta.
-
Iran yaitaka Marekani iondoe askari wake vamizi nchini Syria
Dec 17, 2020 04:01Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vamizi vya nchi ajinabi vikiweko vya Marekani vinapaswa kuondoka nchini Syria mara moja.
-
Jeshi la Syria lakamata silaha za Israel mikononi mwa magaidi
Dec 14, 2020 23:00Jeshi la Syria limekamata kiwango kikubwa cha silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel zilizokuwa zinatumiwa na magenge ya kigaidi kufanya jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu.