Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria

    Askari wa jeshi la kiharamia la Marekani waendelea kupora mafuta ya Syria

    Dec 13, 2020 10:33

    Kwa mara nyingine, askari wa jeshi la Marekani wamepora makumi ya malori ya mafuta ya Syria na kuyahamishia nchi jirani ya Iraq.

  • Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia

    Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia

    Dec 09, 2020 03:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Damascus ni mkubwa na wa kistratejia na kueleza kuwa: Syria ina uhusiano mkubwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.

  • Serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva: Suala la wakimbizi kurudi nchini lisifanywe la kisiasa

    Serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva: Suala la wakimbizi kurudi nchini lisifanywe la kisiasa

    Dec 01, 2020 22:55

    Ujumbe wa serikali ya Syria katika mazungumzo ya Geneva umesisitiza ulazima wa kutatuliwa suala la wakimbizi raia wa nchi hiyo na kuwawezesha kurejea makwao.

  • Bashar al Jaafari akosoa wanajeshi wa Marekani  kuendelea kupora maliasili za Syria

    Bashar al Jaafari akosoa wanajeshi wa Marekani kuendelea kupora maliasili za Syria

    Nov 26, 2020 04:36

    Mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa wanajeshi vamizi wa Marekani kuendelea kupora maliasili za Syria yakiwemo mafuta na gesi.

  • Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq

    Mashambulizi ya jeshi la Marekani yameua raia 13,000 Syria na Iraq

    Nov 20, 2020 00:09

    Shirika lisilo la kiserikali la Airwars lenye makao yake mjini London Uingereza limeripoti kuwa, raia wasiopungua 13,000 wa Syria na Iraq wameuawa katika mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh wa Marekani katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

  • Rais Putin wa Russia: Sasa ni wakati wa wakimbizi wa Syria kurejea nyumbani

    Rais Putin wa Russia: Sasa ni wakati wa wakimbizi wa Syria kurejea nyumbani

    Nov 10, 2020 01:07

    Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yake sasa yanashuhudia amani.

  • Baada ya kuzingirwa kila upande, wanajeshi wa Uturuki waondoka kwenye kambi nyingine nchini Syria

    Baada ya kuzingirwa kila upande, wanajeshi wa Uturuki waondoka kwenye kambi nyingine nchini Syria

    Nov 08, 2020 07:58

    Duru mbalimbali za habari zimetangaza kuwa, wanajeshi wa Uturuki wameondoka katika kambi nyingine ya viunga vya kusini mwa mji wa Idlib wa magharibi mwa Syria na kukimbilia katika maeneo mengine yanayodhibitiwa na waasi wa nchi hiyo.

  • Marekani yaiba tena mafuta ya Syria na kuyapeleka Iraq

    Marekani yaiba tena mafuta ya Syria na kuyapeleka Iraq

    Oct 11, 2020 08:36

    Msafara wa malori 20 ya Marekani yaliyobeba mafuta ghafi yaliyoibwa kutoka visima vya mafuta vya Syria umeelekea nchini Iraq.

  • Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani

    Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani

    Oct 06, 2020 23:41

    Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.

  • Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria

    Assad aikosoa Saudi Arabia kwa kushirikiana na magaidi nchini Syria

    Oct 06, 2020 07:48

    Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa misaada na himaya kubwa ya Saudi Arabia kwa makundi ya kigaidi ndiyo sababu kuu iliyoliwezesha kundi la kigaidi la Daesh kuteka na kukalia kwa mabavu maeneo ya nchi hiyo mwaka 2014.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS