-
Ndege za kivita za Israel zatumia ndege ya abiria kama ngao Syria
Feb 07, 2020 23:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege za kijeshi za utawala haramu wa Israel zimetumia ndege ya abiria kama ngao ya kujikinga katika uvamizi wake mpya dhidi ya Syria.
-
Mapigano yashtadi kati ya majeshi ya Uturuki na Syria, askari kadhaa wa pande mbili wauawa
Feb 04, 2020 04:10Askari kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya majeshi ya Syria na Uturuki yaliyotokea kwenye eneo la kaskazini ya ardhi ya Syria.
-
Russia yatiwa wasi wasi na mashambulizi ya magaidi katika mkoa wa Idlib, Syria
Feb 04, 2020 01:15Serikali ya Russia imetoa radiamali yake kufuatia baadhi ya ripoti zinazohusu kushambuliwa askari wa Uturuki katika operesheni zinazofanywa na askari wa Syria.
-
Tisho la Erdoğan kuishambulia kijeshi Syria
Feb 02, 2020 22:59Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kuishambulia kijeshi Syria.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuhusu kushadidi mapigano kaskazini mwa Syria
Feb 02, 2020 12:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka mapigano na mivutano ya kijeshi katika maeneo ya kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria
Jan 31, 2020 08:29Vikosi vya jeshi la Syria vimelikomboa eneo la Khan Tuman katika operesheni za kuyatimua makundi ya kigaidi katika maeneo ya nchi hiyo yaliyokuwa yamevamiwa na kukaliwa kwa mabavu na makundi hayo.
-
Syria: Ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa ugaidi wa kifizikia
Jan 30, 2020 09:59Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa hatua zilizo dhidi ya ubinaadamu za kuyatumia makundi ya kigaidi.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria
Jan 27, 2020 00:51Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.
-
Askari 40 wa Syria wauawa na kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra Idlib
Jan 23, 2020 23:22Makumi ya wanajeshi wa Syria wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Tahadhari ya UN kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto vitani nchini Syria
Jan 19, 2020 23:24Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, katika muda wa miaka tisa ya vita huko Syria watoto wa kike na wa kiume wa nchi hiyo wamenyimwa haki zao za msingi na haki zao zimekiukwa pakubwa.