-
Malengo ya Marekani ya kuongeza harakati za kijeshi kwenye mpaka wa Iraq na Syria
Jan 04, 2025 12:37Vyanzo vya Iraq vimeripoti kuhusu kuweko harakati kubwa za kijeshi za Wamarekani kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria na muendelezo wa uhamishaji wa vifaa na zana za kijeshi kwenye vituo vyao huko Iraq.
-
Ahadi ya Al-Joulani ya kushirikisha Wasyria wote katika uendeshaji nchi imethibiti kuwa ni uongo
Dec 29, 2024 11:02Kwa kuanza kwa wimbi la timuatimua ya maafisa wa jamii ya Maalawi katika wizara za serikali ya Syria, imethibiti kuwa ahadi alizokuwa ametoa Abu Muhammad Al-Jolani za kutotengwa tabaka lolote la jamii ya Wasyria katika uendeshaji nchi ni za uongo.
-
Baada ya Israel kuichoma moto hospitali kuu ya kaskazini ya Ghaza, yamkamata mkurugenzi na wafanyakazi wake
Dec 28, 2024 14:12Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa askari wa jeshi la utawala w Kizayuni wa Israel wamemkamata Hussam Abu Safiya, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Ghaza, na wafanyakazi wengine mapema leo, siku moja baada ya askari wa jeshi hilo kuichoma moto hospitali hiyo, ambayo ndicho kituo kikuu pekee cha afya katika eneo hilo.
-
Araqchi: Kuvuka kipindi cha sasa kunahitaji kujiepusha na mifarakano
Dec 28, 2024 07:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewaambia maafisa wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwamba: Kuvuka kipindi hiki chenye taharuki nyingi katika eneo la Magharibi mwa Asia kunahitaji busara, ushirikishwaji, ushirikiano na kuepusha mizozo na kujitakia maslahi ya muda mfupi.
-
Rais Putin wa Russia: Ninaamini Mungu. Na Mungu yu pamoja nasi
Dec 27, 2024 06:30Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Mungu yuko pamoja na nchi yake akionyesha kujiamini kwamba Moscow itashinda katika mzozo wake na Ukraine.
-
Araghchi: Syria itashuhudia mabadiko makubwa
Dec 25, 2024 12:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni mapema mno kutabiri mustakabali wa Syria hasa kwa wale wanaodhani kuwa wameshinda.
-
Telegraph : Marekani imeyasaidia makundi ya wanamgambo kuipindua serikali ya Bashar al Assad
Dec 22, 2024 03:39Gazeti la Telegraph linalochapishwa nchini Uingereza limesema katika ripoti yake kuwa Marekani iliwaunga mkono waasi wa Syria ili kuipindua serikali ya Bashar al Assad.
-
Katibu Mkuu UN: Natiwa wasiwasi na kushtadi mivutano huko Syria
Dec 19, 2024 11:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka hali ya mvutano kati ya makundi yenye silaha nchini Syria na wapiganaji wa Kikurdi.
-
Putin: Viongozi wa Magharibi wanadhani wao wanateuliwa na Mungu, japokuwa hawamuamini Mungu
Dec 17, 2024 06:04Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi za Magharibi zinaendelea kufanya mambo kana kwamba ni wawakilishi wa Mungu duniani kwa kujaribu kudumisha ukiritimba wao wa kimataifa kwa kuweka kanuni za kidanganyifu.
-
Ubalozi wa Iran nchini Syria kufunguliwa hivi karibuni
Dec 16, 2024 07:28Hossein Akbari Balozi wa Iran nchini Syria ameeleza kuwa ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Damascus ambao ulifungwa kufuatia matukio ya karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu utaanza shughuli zake hivi karibuni.