Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League

    Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League

    Jun 07, 2018 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati amekiri wazi kwamba maamuzi ya kuiondoa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) yalikuwa makosa makubwa.

  • Magaidi wazidi kuuana nchini Syria baada ya tofauti zao za kimaslahi kushtadi

    Magaidi wazidi kuuana nchini Syria baada ya tofauti zao za kimaslahi kushtadi

    Jun 02, 2018 22:13

    Kwa mara nyingine makundi ya kigaidi na ukufurishaji nchini Syria yameshambuliana na kusababisha kuuawa na kujeruhiwa idadi kadhaa miongoni mwao, baada ya kushtadi tofauti zao.

  • Walid Muallem: Madai ya Israel kwamba Iran ina kambi za kijeshi nchini Syria, ni uongo mkubwa

    Walid Muallem: Madai ya Israel kwamba Iran ina kambi za kijeshi nchini Syria, ni uongo mkubwa

    Jun 02, 2018 09:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid Muallem, amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walioko Syria waliingia nchi hiyo kwa mwaliko maalumu wa serikali ya nchi hiyo na uwepo wao huo ni wa kisheria.

  • Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria

    Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria

    Jun 01, 2018 23:25

    Akizungumza hapo siku ya Alkhamisi na televisheni ya Rusia al-Yaum, Rais Bashar Asad wa Syria ameashiria nafasi hasi na ya kichochezi ya Marekani katika mgogoro wa nchi hiyo na kutaka askari wake waondoke mara moja katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq

    Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq

    Jun 01, 2018 03:13

    Muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) umekiri kupitia ripoti uliyotoa hapo jana kuwa tangu yalipoanza mashambulio ya anga ya muungano huo mwaka 2014 hadi sasa raia 892 wameuawa katika nchi za Syria na Iraq.

  • Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe

    Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe

    May 31, 2018 03:02

    Rais Bashar Al-Assad wa Syria amesema kuhusu lugha ya matusi aliyotumia rais wa Marekani kuhusiana na yeye kwamba: Maneno hayo yanadhihirisha shakhsia ya Trump; na ni mtu wa aina yake yeye tu ndiye anayetarajiwa kutumia lugha ya aina hiyo.

  • Magaidi wa Syria waendelea kuuana wakigombea maslahi

    Magaidi wa Syria waendelea kuuana wakigombea maslahi

    May 27, 2018 23:47

    Mapigano yameendelea kati ya makundi ya kigaidi na ukufurishaji katika mkoa wa Idlib, Syria ambapo sasa wanatumia magari yaliyotegwa mabomu kushambuliana.

  • Kuakisiwa Uenyekiti wa Syria katika kongamano la kimataifa la kutokomeza silaha

    Kuakisiwa Uenyekiti wa Syria katika kongamano la kimataifa la kutokomeza silaha

    May 27, 2018 06:56

    Licha ya upinzani mkubwa wa Marekani na utawala wa Kizayuni, Syria imekabidhiwa uenyekiti wa mwezi mmoja wa kongamano la utokomezaji silaha kimataifa lililo chini ya Umoja wa Mataifa.

  • Magaidi wakufurishaji wabomoa makaburi katika kusaka mali na dhahabu Afrin, Syria

    Magaidi wakufurishaji wabomoa makaburi katika kusaka mali na dhahabu Afrin, Syria

    May 25, 2018 21:51

    Magaidi wakufurishaji nchini Syria wamevamia makaburi ya shakhsia wa kidini na wanaoheshimiwa wa mji wa Afrin katika kusaka mali na dhahabu ndani ya makaburi hayo.

  • Kurejeshwa usalama kamili Damascus na katika viunga vyake; mafanikio mengine ya Syria dhidi ya magaidi

    Kurejeshwa usalama kamili Damascus na katika viunga vyake; mafanikio mengine ya Syria dhidi ya magaidi

    May 23, 2018 01:45

    Kamandi Kuu ya jeshi na vikosi vya ulinzi vya Syria imetangaza kuwa baada ya kufurushwa magaidi wote katika eneo la Hajarul-Aswad na kwenye kambi ya Yarmuk, amani na usalama kamili umerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Damascus na vitongoji vyake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS