-
China: Kuwepo kijeshi Marekani katika Ghuba ya Taiwan ni tishio kwa amani ya dunia
Jun 25, 2022 21:57Afisa mmoja wa jeshi la China amesema, kuruka ndege za kivita na za ugunduzi za Marekani katika anga ya Ghuba ya Taiwan ni kitendo cha kichochezi na tishio kwa amani ya dunia.
-
China yawaasa viongozi wa Marekani wachunge kauli zao kuhusiana na Taiwan
May 24, 2022 02:48China imetoa jibu kali dhidi ya uingiliaji wa waziwazi wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo. Beijing imewaasa viongozi wa Washington wachunge kauli wanazotoa kuhusiana na Taiwan.
-
China yalaani uchokozi wa meli ya kivita ya Marekani katika Njia Bahari ya Taiwan
Feb 27, 2022 04:34China imeutaja kuwa ni "uchochezi" hatua ya kupita meli ya kivita ya Marekani katika Lango Bahari la Taiwan ambalo ni nyeti kimkakati, kwani inatenganisha eneo la Taipei ya China (Taiwan) linalojitawala na China Bara.
-
Rais wa Russia: China haihitaji kutumia nguvu za kijeshi ili kuungana tena na Taiwan
Oct 14, 2021 09:28Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, chaguo la kijeshi halihitajiki kuwa mbadala wa njia ya amani ili kuiwezesha China kuungana na Taiwan.
-
"Mgogoro wa Taiwan kuziingiza China na Marekani kwenye Vita vya Tatu vya Dunia"
Oct 11, 2021 23:03Kiongozi mmoja mwandamizi wa Bunge la Russia amesema kuwa, ugomvi uliopo hivi sasa bina ya Marekani na China kuhusu Taiwan unaweza kuzusha mapigano ya kijeshi baina ya nchi hizo mbili na hata kupelekea kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Jumapili tarehe 10 Oktoba 2021
Oct 10, 2021 06:31Leo ni Jumapili tarehe Tatu Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1443 Hijria Qamaria sawa na Oktoba 10 mwaka 2021.
-
China: Marekani inahatarisha amani kwenye langobahari la Taiwan, mapigano yanaweza kutokea
May 19, 2021 01:34China imekosoa harakati za kichochezi zinazofanywa na Marekani katika langobahari la Taiwan na kueleza kwamba, kuweko manowari ya Marekani katika eneo hilo kunahatarisha amani na uthabiti katika njia hiyo ya baharini ya maji ya kimataifa.
-
Ajali mbaya ya treni yaua na kujeruhi watu 108 nchini Taiwan
Apr 02, 2021 09:46Watu 108 wameuawa na kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki ya kisiwa cha Taiwan
-
China yatoa onyo kali: Taiwan kuwa nchi huru maana yake ni "kutangaza vita"
Jan 29, 2021 09:30China imetumia lugha kali zaidi katika kuamiliana na Taiwan kwa kuonya kuwa, kisiwa hicho kujitangazia uhuru ni sawa na kutangaza vita na kwamba vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimesha jiweka tayari kuchukua hatua dhidi ya uchochezi na uingiliaji wa kigeni.
-
Taiwan; mstari mwekundu wa China
Sep 19, 2020 02:19Ijumaa ya jana tarehe 18 Septemba, jeshi la China lilianza kufanya luteka ya kijeshi jirani na Taiwan katika kipindi hiki cha anga ya mzozo na mvutano baina ya Beijing na Taipei.