-
Alkhamisi, 10 Oktoba, 2019
Oct 10, 2019 04:22Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Safar 1441 Hijria sawa na tarehe 10 Oktoba 2019
-
China: Marekani isicheze na moto katika kadhia ya Taiwan
Jul 12, 2019 15:38Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameionya vikali Marekani isijaribu kucheza na moto kuhusiana na suala la Taiwan, huku akikosoa vikali mpango wa Washington wa kukiuzia silaha kisiwa hicho ambacho Beijing inasisitiza kuwa ni milki yake.
-
Jumatano tarehe 10 Oktoba 2018
Oct 10, 2018 01:24Leo ni Jumatano tarehe 30 Muharram 1440 Hijria sawa na tarehe 10 Oktoba 2018.
-
Marekani kuiuzia Taiwan silaha za kijeshi za dola milioni 330
Sep 25, 2018 08:11Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema serikali ya Washington imeidhinisha mauzo ya silaha za kijeshi kwa Taiwan yenye thamani ya dola milioni 330.
-
eSwatini (Swaziland) kutokata uhusiano na Taiwan licha ya mashinikizo ya China
Jun 02, 2018 04:08Jamhuri ya eSwatini (Swaziland) imesisitiza kuwa haitakata uhusiano wake wa kidiplomasia na Taiwan licha ya mashinikizo ya kila upande kutoka China.
-
Baada ya kuitelekeza Taiwan, Burkina Faso yaanzisha uhusiano wa kidiplomasia na China
May 26, 2018 15:24China na Burkina Faso zimeanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kuvunja uhusiano wake na Taiwan, ukiwa ni ushindi mwingine kwa Beijing inayoendelea kutoa mashinikizo kwa serikali ya Taipei.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taiwan ajiuzulu baada ya Burkina Faso kukata uhusiano na kisiwa hicho
May 24, 2018 14:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Taiwan, Joseph Wu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya Burkina Faso kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na kisiwa hicho ambacho China inadai ni milki yake.
-
Jumanne 10 Oktoba, 2017
Oct 10, 2017 18:47Leo ni Jumanne tarehe 19 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 10, 2017.
-
China kuisaidia Gambia baada ya kukata uhusiano na Taiwan
Aug 02, 2017 08:10China imeahidi kuipa msaada Gambia baada ya nchi hiyo ya Kiafrika kukata uhusiano rasmi na serikali tya Taiwan.
-
Trump akengeuka sera ya Marekani kwa kufanya mazungumzo na Rais wa Taiwan
Dec 03, 2016 07:49Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekengeuka sera ambayo nchi hiyo imekuwa ikifuata kwa miaka 37 sasa kwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Taiwan.