-
Mwanadiplomasia wa Iran: Marekani, Israel zinajua vyema uwezo halisi wa Iran
Feb 20, 2025 11:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisiasa, Majid Takht Ravanchi amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zitalazimika kulipa gharama kubwa iwapo zitafanya makosa yoyote dhidi ya Iran.
-
Iran yakosoa kimya na kigugumizi cha Baraza la Usalama mbele ya jinai za Wazayuni
Jun 03, 2022 07:16Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali kimya cha Baraza la Usalama mbele ya jinai za kuendelea zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Iran UN ikabiliane na vikwazo na hujuma dhidi ya Uislamu huko Magharibi
May 05, 2022 07:19Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amevitaja vikwazo na hujuma dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Magharibi kuwa ni kinyume na kanuni, sheria za kimataifa, sheria ya kibinadamu na Hati ya Umoja wa Mataifa, na ametoa wito kwa idara ya Mawasiliano ya Kimataifa ya umoja huo kuendeleza juhudi za kukabiliana na athari mbaya za vikwazo vya upande mmoja kwa nchi zilizoathiriwa na vikwazo.
-
Takht-Ravanchi: Sheria za kimataifa inabidi ziulinde Msikiti wa al Aqsa
Apr 26, 2022 07:44Balozi wa mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuna wajibu wa sheria za kimataifa kuulinda Msikiti wa al Aqsa ili kuzuia kutokea maafa yenye madhara makubwa.
-
Ravanchi: Utawala wa Syria haupaswi kudhoofishwa kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi
Feb 26, 2022 07:47Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, kuwepo kinyume cha sheria majeshi ya kigeni katika baadhi ya maeneo ya Syria kumetayarisha mazingira ya harakati na shughuli za makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Vikwazo vya upande mmoja ni jinai dhidi ya binadamu
Jun 04, 2021 11:07Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema matumizi ya nguvu na mabavu kama vikwazo dhidi ya mataifa mbalimbli ni kinyume cha sheria na maadili ya kibinadamu na ni kielelezo cha wazi cha uhalifu na jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu.
-
Takht-Ravanchi: Himaya kwa makundi ya kigaidi nchini Syria inapaswa kukomeshwa
May 27, 2021 07:47Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuna ulazima wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kusisitiza kuwa: Lazima tukomeshe kuwagawa magaidi baina ya magaidi wazuri na magaidi wabaya.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo vinazidisha mgogoro wa Syria
Mar 30, 2021 08:08Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Syria ni hatua yenye madhara na inayozidisha tu mgogoro wa nchi hiyo na kuwazidishia maumivu wananchi wa nchi hiyo ambayo wanataabika na matatizo mengine mbalimbali kama janga la maambukizi ya corona.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo vinashadidisha matatizo katika mabadiliko ya tabianchi
Feb 24, 2021 03:15Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya kiuchumi vya upande mmoja ni moja ya vizuizi vikuu vinavyokwamisha juhudi za kukabiliana ipasavyo na athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi, hivyo lazima viondolewe.
-
Ufunguo wa kutatua mgogoro wa Syria ni kulindwa mamlaka ya kujitawala na wananchi kuwa na nafasi katika utawala
Jul 24, 2020 13:24Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kulindwa mamlaka ya kujitawala, mipaka na uhuru wa kisiasa Syria ni mambo ya dharura na pia wanajeshi wote wa kigeni walioko Syria wanapaswa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo mara moja.