-
Corona na udharura wa kufutwa vikwazo vya upande mmoja kwa ajili ya kulinda uhai wa wanadamu
Jul 04, 2020 07:50Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya upande mmoja vinadhoofisha uwezo wa nchi zinazolengwa kwa vikwazo hivyo katika mapambano yao dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona na vinapaswa kufutiliwa mbali.
-
Vikwazo vya Marekani vimefika katika mpaka wa jinai dhidi ya binadamu
Jun 03, 2020 10:17Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: "Kwa kuendeleza na kushadidisha vikwazo vyake vilivyo kinyume cha sheria, ugaidi wa kiuchumi na ugaidi wa kitiba sasa Marekani imefika katika mpaka wa jinai dhidi ya binadamu."
-
Takht-Ravanchi: Hotuba ya Kiongozi Muadhamu itapelekea kuangaziwa kadhia ya Palestina duniani
May 21, 2020 09:25Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa amesema hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Siku ya Kimataifa ya Quds itaigeuza kadhia ya Palestina kuwa kadhia nambari moja duniani kinyume na jitihada zinazofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani iondoke magharibi mwa Asia
Jan 12, 2020 02:38Balozi na mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Luteni Jenerali shahidi Qassem Soleimani ni shujaa wa mapambano dhidi ya ugaidi katika eneo la magharibi mwa Asia na kuongeza kuwa, Marekani inapaswa kuondoka katika eneo hilo.
-
Takhte Ravanchi afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa UN; Iran yasisitiza kuwalinda raia na ardhi yake
Jan 09, 2020 13:00Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa umoja huo na kusisitiza azma ya Iran ya kuwalinda wananchi na ardhi yake.
-
Iran: Baraza la Usalama la UN linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari, linahitaji mageuzi
Nov 26, 2019 08:06Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, Baraza la Usalama la umoja huo linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari ambayo inapasa ishughulikiwe kwa kufanyiwa mageuzi baraza hilo.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imekiuka mkataba wa NPT
Sep 10, 2019 02:38Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametilia mkazo jukumu la pamoja la kupiga marufuku aina yoyote ya majaribio ya uripuaji silaha za nyuklia na kueleza kwamba Marekani imekiuka mkataba wa kuzuia uundaji na uenezaji silaha za nyuklia (NPT) kwa kujitoa kwenye makubaliano yanayohusiana na mkataba huo na kwa kuanzisha mashindano ya kuzifanya silaha hizo za nyuklia kuwa za kisasa zaidi.
-
Takht-Ravanchi: Marekani ilikiuka wazi sheria za kimataifa kwa kujiondoa JCPOA
May 25, 2019 06:50Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kujiondoa Marekani katika mpatano ya nyuklia ya JCPOA ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa hasa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
'Iran haitakubali mazungumzo ambayo msingi wake ni mabavu na vitisho'
May 15, 2019 03:29Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: "Iran haitakubali kufanya mazungumzo ambayo msingi wake ni utumiaji mabavu na vitisho."
-
Takhte-Ravanchi: Iran haitoruhusu kuangaliwa upya JCPOA
Jan 14, 2017 03:56Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya Ulaya na Marekani amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitatoa mwanya wa kuchunguzwa upya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).