Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Taliban

  • Ukosoaji wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan kuhusu kutowekwa wazi makubaliano ya Marekani na Taleban

    Ukosoaji wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan kuhusu kutowekwa wazi makubaliano ya Marekani na Taleban

    Mar 08, 2020 10:33

    Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa makubaliano ya hivi karibuni kati ya Marekani na kundi la Taleban hayajulikani vyema.

  • Hatimaye serikali ya Afghanistan na kundi la Taleban zakubaliana kuanza mazungumzo ya amani

    Hatimaye serikali ya Afghanistan na kundi la Taleban zakubaliana kuanza mazungumzo ya amani

    Feb 29, 2020 17:15

    Duru za habari nchini Afghanistan zimearifu kwamba serikali ya Kabul na kundi la Taleban zimekubaliana kuanza mazungumzo ya amani baina yao.

  • Kuvunjika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani

    Kuvunjika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani

    Jan 20, 2020 03:18

    Msemaji wa ikulu ya Afghanistan ametangaza habari ya kutofikiwa mapatano katika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani nchini Qatar.

  • Mazungumzo eti ya amani kati ya Marekani na Taleban huko Qatar yavunjika

    Mazungumzo eti ya amani kati ya Marekani na Taleban huko Qatar yavunjika

    Jan 18, 2020 02:55

    Waziri wa Serikali Katika Masuala ya Afghanistan, amesema kuwa mazungumzo eti ya 'amani' kati ya Marekani na kundi la Taleban yanayofanyika nchini Qatar, yamevunjika.

  • Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar

    Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar

    Oct 19, 2019 05:40

    Msemaji wa Idara ya Siasa ya kundi la Talibal la Afghanistan amesema kuwa Marekani inakwamisha utekelezwaji wa makubaliano ya Qatar.

  • Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan

    Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan

    Oct 06, 2019 08:01

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Afghanistan ametahadharisha kuhusu kujiunga viongozi wa kundi la Taliban na kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.

  • Ijumaa, Septemba 27, 2019

    Ijumaa, Septemba 27, 2019

    Sep 27, 2019 02:37

    Leo ni Ijumaa tarehe 27 Mfunguo Nne Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 27 mwaka 2019 Milaadia.

  • Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban

    Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban

    Sep 09, 2019 06:03

    Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliahidi kuwaondoa askari wote wa Marekani wanaohudumu Afghanistan.

  • Sisitizo la Trump la kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini Afghanistan

    Sisitizo la Trump la kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini Afghanistan

    Aug 31, 2019 06:38

    Miaka 18 iliyopita Marekani iliishambulia na kuivamia kijeshi Afghanistan na kisha ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo kwa kisingizio cha kulipiza kisasi cha mashambulio ya Septemba 11, mwaka 2001 na pia kupambana na ugaidi nchini humo. Wakati rais wa sasa wa Marekani Donald Trump alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2016 na baada ya kuingia Ikulu ya White House aliahidi kwamba atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Syria na Afghanistan, hata hivyo hadi sasa amehalifu ahadi yake hiyo.

  • Sisitizo la Rais wa Afghanistan la kufanyika mazungumzo ya ana kwa ana na kundi la Taliban tena bila masharti

    Sisitizo la Rais wa Afghanistan la kufanyika mazungumzo ya ana kwa ana na kundi la Taliban tena bila masharti

    Jul 13, 2019 07:49

    Rais Muhammad Ashraf Ghani wa afghanistan amesisitiza juu ya ulazima wa kuweko mazungumzo ya ana kwa ana baina ya serikali ya Kabul na kundi la wanamgambo wa Taliba na tena bila masharti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS