-
Kundi la Taleban lawateka nyara viongozi wa msafara wa amani nchini Afghanistan
Jun 05, 2019 07:38Wanachama wa kundi la Taleban wamewateka nyara viongozi wanaojihusisha na kampeni za amani nchini Afghanistan wakati wa matembezi ya amani.
-
Taliban yatangaza utayari wa kufanya mazungumzo ya amani kwa masharti na serikali ya Afghanistan
Feb 24, 2019 02:45Msemaji wa kundi la Taliban amesema, kundi hilo liko tayari kwa masharti kufanya mazungumzo ya amani na serikali ya Afghanistan.
-
Taleban: Hatujahusika na mripuko wa sherehe za Maulidi mjini Kabul, Afghanistan
Nov 21, 2018 15:57Msemaji wa kundi la Taleban amekanusha kuhusika kwa aina yoyote kundi hilo katika mripuko wa kigaidi uliotokea kwenye sherehe za maulidi ya Mtume (saw) huko Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)
Nov 12, 2018 05:24Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya kundi la Taleban yenye makao yake mjini Qatar amesema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi za Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, ni mradi wa pamoja wa Washington na serikali ya Kabul.
-
Serikali ya Afghanistan yapinga usitishaji vita wa upande mmoja na kundi la Taleban Siku ya Iddul Adh'ha
Aug 19, 2018 09:50Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Afghanistan ametupilia mbali mpango wa usitishaji vita wa upande mmoja na kundi la Taleban katika siku ya Iddul-Adh'ha.
-
Jumatano,Agosti 8, 2018
Aug 08, 2018 04:07Leo ni Jumatano tarehe 25 Dhulqaada 1439 Hijria mwafaka na tarehe 8 Agosti mwaka 2018.
-
Taleban: Helikopta za Marekani zinawasaidia wanachama wa Daesh dhidi yetu
Jun 23, 2018 02:23Kundi la kigaidi la Taleban nchini Afghanistan limesema kwamba helikopta za kijeshi za Marekani zimekuwa zikiwasaidia wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika uwanja wa vita kati ya wanachama wa makundi hayo sambamba na kushambulia ngome za Taleban katika mkoa wa Nangarhar, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kundi la Taliban laua askari 30 wa Afghanistan katika mkoa wa Badghis
Jun 20, 2018 07:38Licha ya serikali ya Afghanistan kutangaza kurefusha muda wa usitishaji vita wa upande mmoja kwa siku 10 zaidi, kundi la wapiganaji wa Taliban ambalo limekataa pendekezo hilo limetekeleza mashambulizi makubwa mapema leo lilioua makumi ya askari wa nchi hiyo katika mkoa wa Badghis.
-
Magaidi wa Taliban wahujumu hoteli ya InterContinental Kabul na kuua watu sita
Jan 21, 2018 14:06Kundi la kigaidi la Taliban limedai kuhusika na hujuma dhidi ya hoteli ya kifahari ya InterContinental katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul ambapo raia sita wameuawa.
-
Kutolewa mwito mwengine na serikali ya Afghanistan kwa Taliban wa kujiunga na mchakato wa mazungumzo ya amani
Nov 17, 2017 02:43Abdullah Abdullah, Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Afghanistan, kwa mara nyengine tena ametoa wito wa kulitaka kundi la Taliban lijiunge na mchakato wa mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.