-
Jumatano tarehe 27 Septemba, 2017
Sep 27, 2017 04:12Leo ni Jumatano tarehe 6 Muharram 1439 Hijria sawa na Septemba 27, 2017 Miladia.
-
Taliban kuigeuza ardhi ya Afghanistan 'makaburi' ya askari wa Marekani
Aug 22, 2017 15:29Kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan limetangaza kuwa litaigeuza nchi hiyo "eneo la makaburi" ya askari wa Marekani baada ya nchi hiyo kutangaza kuwa itaendelea kuikalia kwa mabavu nchi hiyo ya bara la Asia.
-
Polisi 130 wa Afghanistan wajisalimisha kwa magaidi wa Taleban
Jul 25, 2017 08:20Kwa akali polisi 130 wa serikali ya Afghanistan wamejisalimisha kwa wanachama wa kundi la kigaidi na Kiwahabi la Taleban kufuatia kudhibitiwa mji wa Kohestan mkoa wa Faryab, kaskazini mwa Afghanistan.
-
Qatar: Tuliwakaribisha Taliban mjini Doha kwa matakwa ya Marekani
Jun 12, 2017 07:51Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Qatar amesema kuwa, nchi hiyo ililialika kundi la kigaidi la Taliban mjini Doha kutokana na takwa la Marekani ambayo leo, ikiwa pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu, inaituhuma Qatar kuwa inaunga mkono makundi yenye misimamo mikali.
-
Taliban waua makumi ya askari wa Afghanistan
Apr 22, 2017 03:43Zaidi ya askari 50 wa Afghanistan wameuawa katika shambulio lililofanywa na wapiganaji wa kundi la kitakfiri la Taliban dhidi ya kambi muhimu ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Afghanistan.
-
Kutiliwa nguvu mazungumzo ya Russia na kundi la Taliban la Afghanistan
Apr 02, 2017 13:03Alexander Grushko, mwakilishi wa kudumu wa Russia katika shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO amethibitisha habari kuwa Moscow imefanya mazungumzo na kundi la Taliban la Afghanistan.
-
Jumatatu, tarehe 08 Agosti
Aug 08, 2016 06:46Leo ni Jumatatu tarehe 5 Dhilqaada 1437 Hijria mwafaka na tarehe 8 Agosti mwaka 2016.
-
Kiongozi wa Taliban, Mullah Mansour auawa katika hujuma ya drone
May 22, 2016 16:20Kiongozi wa kundi la kigaidi la Taliban, Mullah Akhtar Mohammad Mansour ameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Marekani katika mkoa wa Baluchistan, mpakani mwa Afghanistan na Pakistan.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 08:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Magaidi wa Taliban waendelea kupata himaya ya nchi za Magharibi
Mar 17, 2016 08:21Balozi wa Uingereza nchini Afghanistan, Dominic Jermey amesema kuwa nchi yake inao uhusiano wa karibu na kundi la kigaidi la Taliban na kwamba ikiwa serikali ya Kabul itahitajia, basi nchi yake inaweza kuutumia uhusiano huo kwa ajili ya kurejesha usalama na amani nchini humo.