Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Taliban

  • Taliban yatangaza mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana Afghanistan

    Taliban yatangaza mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana Afghanistan

    Mar 26, 2022 02:24

    Msemaji wa wizara ya elimu ya serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametangaza kuwa, mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana kuanzia darasa la saba umekabidhiwa kwa rais wa serikali ya nchi hiyo.

  • Taliban yafanya kikao muhimu kujadili mabadiliko serikalini na kutambuliwa kimataifa

    Taliban yafanya kikao muhimu kujadili mabadiliko serikalini na kutambuliwa kimataifa

    Mar 23, 2022 07:28

    Kundi la Taliban nchini Afghanistan limefanya kikao muhimu cha kujadili mabadiliko ya baraza lake la mawaziri na nini kifanyike ili serikali ya kundi hilo itambuliwe na kukubaliwa kimataifa.

  • Sisitizo la serikali ya Taliban la kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa zamani wa Afghanistan

    Sisitizo la serikali ya Taliban la kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa zamani wa Afghanistan

    Mar 03, 2022 11:19

    Rais wa serikali ya mpito ya Afghanistan ametoa wito wa kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa serikali ya zamani ya nchi hiyo.

  • Taliban: Tumeanza kutambuliwa kwa kufunguliwa baadhi ya balozi za kigeni Kabul

    Taliban: Tumeanza kutambuliwa kwa kufunguliwa baadhi ya balozi za kigeni Kabul

    Feb 24, 2022 03:03

    Kiongozi mwandamizi wa Taliban amesema, kufunguliwa tena baadhi ya balozi za kigeni katika mji mkuu Kabul ni ishara ya kutambuliwa kundi hilo na jamii ya kimataifa.

  • Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban

    Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban

    Feb 22, 2022 14:44

    Baada ya kupita miezi sita tangu wanamgambo wa Taliban wachukue madaraka nchini Afghanistan, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, kuendelezwa mawasiliano na Taliban na kufanyika mazungumzo baina ya Waafghani ndio chaguo bora zaidi na ni kwa maslahi ya pande zote nchini humo pamoja na jamii ya kimataifa.

  • Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani

    Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani

    Feb 16, 2022 02:35

    Serikali ya Taliban nchini Afghansitan imetishia kuangalia upya misimamo na sera zake kwa Marekani, iwapo Washington itakataa kuachia mabilioni ya fedha za Waafghani ilizozuilia.

  • Kupinga Taliban kuhusu hali ya wananchi wa Afghanistan

    Kupinga Taliban kuhusu hali ya wananchi wa Afghanistan

    Feb 04, 2022 02:35

    Kundi la Taliban limepinga pakubwa ripoti mbalimbali zilizotolewa kuhusu hali ya mambo inayowakabili wananchi wa Afghanistan na halipo tayari kukubali uhakika wa mambo wa jamii ya nchi hiyo hasa baada ya kundi hilo kuchukua madaraka huko Afghanistan.

  • Taliban yaitaka US iheshimu wito wa UN wa kuachia fedha za Afghanistan

    Taliban yaitaka US iheshimu wito wa UN wa kuachia fedha za Afghanistan

    Jan 15, 2022 00:46

    Serikali ya Taliban imeitaka Washington itekeleze mwito uliotolewa hivi karibuni na Umoja wa Mataifa, wa kuachia fedha za Afghanistan zilizozuiwa nchini Marekani.

  • Rais wa zamani wa Afghanistan: Muda umewadia kwa dunia kushirikiana na Taliban

    Rais wa zamani wa Afghanistan: Muda umewadia kwa dunia kushirikiana na Taliban

    Dec 26, 2021 11:07

    Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai amesema, muda umewadia kwa jamii ya kimataifa kushirikiana na Taliban na kuepusha vifo vya mamilioni ya raia wa Afghanistan kutokana na baa la njaa.

  • Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan

    Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan

    Dec 22, 2021 02:36

    Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ametoa radiamali kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan akisema kuwa: Hakuna mtu atakayeruhusiwa kutumia ardhi ya Afghanistan dhidi ya mataifa mengine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS