-
Marekani yajitosa sakata la Mbowe, Tanzania yajibu
Jul 23, 2021 12:37Kamati Ndogo ya Mambo ya Nje ya Afrika ya Baraza la Wawakilishi la Marekani imeiomba Serikali ya Tanzania imuache huru Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema, Freeman Mbowe, anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi.
-
Kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania akabiliwa na tuhuma za mauaji ya viongozi wa serikali
Jul 22, 2021 16:27Baada ya kushikiliwa kwa takribani siku mbili, Jeshi la Polisi la Tanzania limetangaza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwemo za kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi na kuua viongozi wa Serikali.
-
Mbowe na viongozi wengine 11 wa Chadema wakamatwa na jeshi la Polisi Tanzania
Jul 21, 2021 07:53Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10 wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza.
-
Waandishi Tanzania watakiwa kutumia vizuri kalamu zao kutatua migogoro + Sauti
Jul 15, 2021 13:37Waandishi wa habari nchini Tanzania wametakiwa kutumia vizuri kalamu zao kwa ajili ya kuimarisha amani na kutatua migogoro katika jamii ikiwemo ya wakati wa uchaguzi. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Majaliwa azichambua siku 100 za Rais Samia, amtaja kuwa ni "kiongozi wa kihistoria"
Jun 27, 2021 15:07Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amechambua utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 zilizopita akibainisha kuwa ni "kiongozi wa kihistoria" kutokana na mambo mbalimbali anayoyatekeleza.
-
Rais Samia atahadharisha kuhusu wimbi la tatu la corona, asema limeingia Tanzania
Jun 25, 2021 14:27Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amethibitisha kwamba kuna viashiria vya wimbi la tatu la virusi vya Corona nchini humo.
-
Viongozi wa Uamsho Zanzibar wafutiwa kesi, waanza kuondoka gerezani
Jun 16, 2021 12:26Viongozi 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wakio gozwa na Sheikh Farid Hadi Ahmed na Mselem Ali Mselem waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya ugaidi, wameachiwa huru.
-
Mwinyi: Zanzibar ipo tayari kupokea chanjo ya COVID-19
Jun 04, 2021 14:10Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali iko tayari kupokea msaada wa chanjo ya COVID -19 na misaada mbalimbali ya kitabibu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Rais Samia awatahadharisha Watanzania dhidi ya Corona
Jun 02, 2021 04:25Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.
-
Samia: Nitaongeza jitihada za kufikia usawa wa kijinsia wa 50/50 katika uongozi Tanzania
May 28, 2021 13:04Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema japo Tanzania bado haijafikia kiwango cha usawa wa kijinsia cha 50/50 katika uongozi, lakini katika kipindi chake atahakikisha anaongeza jitihada za kufikia usawa huo.