-
UN yaiomba Tanzania iwape hifadhi raia wa Msumbiji wa Cabo Delgado wanaokimbia mapigano
May 19, 2021 06:28Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UBHCR limesema lina wasiwasi mkubwa na taarifa zinazoendelea za watu wanaokimbia jimboni Cabo Delgado nchini Msumbiji kurudishwa kwa nguvu baada ya kuvuka mpaka kuelekea nchi jirani ya Tanzania.
-
BAKWATA na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania zaungana kimsimamo kuhusu Mashekhe wanaosota magerezani
May 15, 2021 14:13Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Ponda Issa Ponda, ameungana na Baraza Kuu la Waislamu nchini humo BAKWATA kutaka kesi zinazowakabili mashekhe ziendeshwe haraka.
-
Tanzania yaonya kuhusu Corona ya India, spishi hiyo yaripotiwa Kenya na Uganda
May 07, 2021 07:59Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimetadharisha juu ya kuibuka na kuenea kwa spishi mpya ya ugonjwa wa Covid-19 ya India katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Tanzania, Kenya zaafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la gesi
May 04, 2021 15:00Kenya na Tanzania zimefikiana kuhusu ujenzi wa bomba la gesi aina ya LPG kutoka Dar es Salaam kwenda Mombasa.
-
Mei Mosi: Janga la Corona limeathiri sekta ya ajira Afrika Mashariki
May 01, 2021 13:25Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya matamanio yake ya kuongeza mishahara, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa sasa kutokana na changamoto kadhaa ikiwemo mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
-
Samia Suluhu achaguliwa kuwa mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama tawala Tanzania, CCM
Apr 30, 2021 15:16Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura zote 1,862, sawa na asilimia 100 ya kura zilizopigwa katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM unaoendelea kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
-
Guterres: Magufuli atakumbukwa kwa kurejesha maadili ya utumishi wa umma, kupambana na rushwa
Apr 17, 2021 07:57Baadhi ya viongozi walioshiriki katika kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa (UN) uliofanyika jana Ijumaa mjini New York wamebainisha alama za uongozi za rais wa awamu ya tano wa Tanzania, John Magufuli wakishauri kuendelezwa mema aliyoyatenda na kuahidi kushirikiana na Rais wa sasa wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan.
-
Ali Hassan Mwinyi: Rais Samia ameanza vizuri, kila mtu ana furaha
Apr 12, 2021 12:11Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili nchini Tanzania, Dkt. Ali Hassan Mwinyi leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye amempongeza kwa kuanza vizuri majukumu yake ya kuongoza nchi.
-
Rais wa Tanzania kuunda kamati ya Corona, ataka vyombo vya habari vifunguliwe
Apr 06, 2021 13:49Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ataunda kamati ya wataalamu watakaochambua kwa kina ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona na kuishauri Serikali hatua za kuchukua.
-
Wakazi wa Kanda ya Ziwa Tanzania wamuaga Magufuli, Majaliwa asema ameacha alama kote nchini
Mar 24, 2021 14:24Wananchi wa Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa nchini Tanzania wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara na mitaa ya Mwanza kumuaga aliyekua Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli.