-
Wazanzibar wajitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa hayati Magufuli katika Uwanja wa Amaan
Mar 23, 2021 14:40Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne ameongoza viongozi mbalimbali na Wazanzibari kwa ujumla katika shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt John Pombe Magufuli, ambaye alifariki dunia Machi 17 jijini Dar es Salaam.
-
Viongozi wa Afrika wamlilia hayati Magufuli Dodoma; Kenyatta asimamisha hotuba kwa kusikia adhana
Mar 22, 2021 12:32Viongozi na marais kutoka nchi 17 duniani hususan za Afrika wamehudhuria shughuli ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli iliyofanyika leo Jumatatu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
-
Tanzania yabadilisha tarehe ya kumzika Magufuli, hayati ameagwa leo Dar es Salaam
Mar 20, 2021 12:18Ibada ya wafu ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli imefanyika leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa Tanzania kufuatia kifo cha Rais Magufuli
Mar 20, 2021 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za mkono wa pole kwa wananchi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli.
-
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki
Mar 19, 2021 15:50Samia Suluhu Hassan, leo ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli kilichotokea siku ya Jumatano.
-
Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania afariki dunia
Mar 18, 2021 03:13Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
-
Tanzania kuisaidia Burundi kujiunga na jumuiya ya SADC
Mar 06, 2021 08:16Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi ameiahidi nchi ya Burundi kuwa Tanzania itashirikiana nayo katika harakati zake za kuomba kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
-
BAKWATA lawaagiza Watanzania kumtegemea Mungu na kutumia utaalamu wa kisayansi ili kuishinda tena Corona
Feb 15, 2021 03:56Watanzania na Waislamu wote nchini humo wameaswa kumrejea Mwenyezi Mungu kwa kusali na kutubu ili awaepushe na maradhi ya mripuko hususan katika kipindi hiki cha mripuko wa janga la dunia nzima la Corona.
-
Corona: Tanzania kuanza kampeni ya 'kupiga nyungu' wiki nzima
Jan 31, 2021 02:59Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa nchini Tanzania, Selemani Jafo ametangaza kuanza kampeni ya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona juma lijalo.
-
Rais wa Tanzania amteua naibu waziri mpya wa madini, wa kwanza alishindwa kuapa
Dec 11, 2020 07:56Rais John Magufuli wa Tanzania amemteua naibu waziri mwingine wa madini baada ya ule aliyekuwa ameteuliwa awali kusita wakati wa kula kiapo.