Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • TI: Jitihada za Magufuli za kupambana na ufisadi Tanzania zinazaa matunda

    TI: Jitihada za Magufuli za kupambana na ufisadi Tanzania zinazaa matunda

    Jul 14, 2019 02:58

    Utendakazi na jitihada za kupambana na ufisadi za Rais John Magufuli wa Tanzania zimeifanya nchi hiyo ya Afrika Mashariki ishike nafasi ya kwanza barani Afrika katika vita dhidi ya ufisadi.

  • Watanzania na Wakenya ni miongoni mwa 26 waliouawa katika shambulizi Somalia

    Watanzania na Wakenya ni miongoni mwa 26 waliouawa katika shambulizi Somalia

    Jul 13, 2019 08:14

    Idadi ya watu waliouawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya hoteli moja kusini mwa Somalia imeongezeka na kufikia watu 26. Awali Polisi ya Kismayo iliripoti kuwa waliouawa katika hujuma hiyo ya kigaidi ni watu saba.

  • Chama Tawala Tanzania: Polisi wasitumie mabavu kukabiliana na wanasiasa, nao wapinzani wapongeza kauli hiyo

    Chama Tawala Tanzania: Polisi wasitumie mabavu kukabiliana na wanasiasa, nao wapinzani wapongeza kauli hiyo

    Jul 13, 2019 03:20

    Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania, ambacho ni chama tawala (CCM), kimekemea vikali vitendo vya polisi wa nchi hiyo vya kutumia mabavu bila sababu za msingi katika kushughulikia migogoro ya kisiasa.

  • Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania: Wanaharakati wanaopinga mradi wa Stigler’s Gorge watabanwa mbavu

    Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania: Wanaharakati wanaopinga mradi wa Stigler’s Gorge watabanwa mbavu

    Jul 09, 2019 09:33

    Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzamia, Dk Hamis Kigwangalla amesema kuwa, wanaharakati wanaopinga mradi wa kufua umeme wa nchi hiyo unaoitwa 'Stigler’s Gorge' watabanwa mbavu sambamba na kufanyiwa fujo hata kabla ya wao kufika kwa Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo.

  • Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti

    Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti

    Jul 07, 2019 11:17

    Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, Waziri wa Viwanda na Biashara wa nchi hiyo, Mheshimiwa Innocent Bashugwa amewataka Watanzania kuitumia Sabasaba kama sehemu ya kuwakutanisha wafanyabiashara na wenye viwanda wa Tanzania na wanaotoka nchi mbalimbali kwaajili ya kujikuza kibiashara na wasiifanye kuwa ni sehemu ya kuwapeleka watoto matembezini tu. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam.

  • Rais Magufuli Tanzania: Watanzania na Wakenya wasikubali kulaghaiwa kwa maneno ya kuwatenganisha

    Rais Magufuli Tanzania: Watanzania na Wakenya wasikubali kulaghaiwa kwa maneno ya kuwatenganisha

    Jul 05, 2019 11:07

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, amesema kuwa, raia wa Kenya na Tanzania wasikubali kulaghaiwa na kupotoshwa kwa maneno yasiyofaa yanayolenga kuwatenganisha.

  • Hatimaye raia wa Kenya aliyesemekana kutekwa nyara Tanzania, apatikana mjini Mombasa

    Hatimaye raia wa Kenya aliyesemekana kutekwa nyara Tanzania, apatikana mjini Mombasa

    Jul 02, 2019 09:32

    Mfanyabiashara wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam Tanzania, amepatikana leo akiwa salama mjini Mombasa nchini Kenya.

  • Zitto Kabwe: Serikali ya Tanzania iliangalie kwa uzito suala la kutekwa raia wa Kenya

    Zitto Kabwe: Serikali ya Tanzania iliangalie kwa uzito suala la kutekwa raia wa Kenya

    Jul 01, 2019 08:13

    Zitto Zuberi Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania ameitaka serikali ya nchi hiyo kuliangalia kwa uzito suala la kutekwa nyara raia wa Kenya anayeishi Tanzania, kwa jina la Raphael Ongagi.

  • Mkuu wa Jeshi la Polisi la Tanzania atembelea eneo walipouliwa Watanzania + Sauti

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Tanzania atembelea eneo walipouliwa Watanzania + Sauti

    Jun 30, 2019 12:40

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amesema imebainika kuwa waliowaua Watanzania 9 kwa kuwapiga risasi na wengine kushambuliwa kwa mapanga ambao ni watu wasiojulikana, walianza chokochoko hizo katika eneo la Kibiti mkoani Pwani baada ya kutimuliwa na na Jeshi la Polisi la Tanzania na wengine wakakimbilia nchi jirani ikiwemo Msumbiji. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Ammar Dachi.

  • Lissu kwenda mahakamani kupinga hatua ya kupokonywa Ubunge

    Lissu kwenda mahakamani kupinga hatua ya kupokonywa Ubunge

    Jun 28, 2019 23:31

    Baada ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kusema Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge, mwanasiasa huyo ambaye anaendelea kuuguza majeraha ya risasi ughaibuni amesema atakwenda mahakamani kupinga uamuzi huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS