Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti
Jul 07, 2019 15:47 UTC
Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, Waziri wa Viwanda na Biashara wa nchi hiyo, Mheshimiwa Innocent Bashugwa amewataka Watanzania kuitumia Sabasaba kama sehemu ya kuwakutanisha wafanyabiashara na wenye viwanda wa Tanzania na wanaotoka nchi mbalimbali kwaajili ya kujikuza kibiashara na wasiifanye kuwa ni sehemu ya kuwapeleka watoto matembezini tu. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam.
Tags