Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Zitto Kabwe: Bunge la Tanzania liibane serikali isiendelee kukopa fedha

    Zitto Kabwe: Bunge la Tanzania liibane serikali isiendelee kukopa fedha

    Jun 27, 2019 03:52

    Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa kuna umuhimu wa bunge la nchi hiyo kuipangia serikali ya Dar es Salaam kiasi cha fedha inachotakiwa kukikopa ili kupunguza kuongezeka kwa Deni la Taifa sambamba na mikopo hiyo hutumika kikamilifu katika miradi ya maendeleo iliyokusudiwa.

  • SAUTI, Kazi ya ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya Rusumo karibu itakamilika

    SAUTI, Kazi ya ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya Rusumo karibu itakamilika

    Jun 24, 2019 13:36

    Nchi za Rwanda, Tanzania na Burundi zimetangaza kwamba kazi ya kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rusumo iko mbioni kukamilika.

  • Serikali ya Tanzania: Marufuku watuhumiwa wanawake kukaguliwa na askari wa kiume

    Serikali ya Tanzania: Marufuku watuhumiwa wanawake kukaguliwa na askari wa kiume

    Jun 24, 2019 08:47

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Waziri wake wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola imesema kuwa, mtuhumiwa mwanamke anayefikishwa katika kituo cha polisi hapaswi kukaguliwa na askari wa kiume na badala yake kazi hiyo inatakiwa kufanywa na askari wa kike, mgambo wa kike au mke wa askari aliyepo karibu na eneo la kituo hicho na si vinginevyo.

  • Homa ya Dengue yaua watu wanne nchini Tanzania

    Homa ya Dengue yaua watu wanne nchini Tanzania

    Jun 21, 2019 09:55

    Serikali ya Tanzania leo Ijumaa imetoa kauli Bungeni kuhusu homa ya Dengue na kubainisha kwamba, tangu mwezi Januari hadi Juni mwaka huu 2019, watu wanne wamefariki dunia huku maelfu ya wengine wakiwa wameugua ugonjwa huo.

  • Watanzania: Ongezeko la Shilingi laki moja kwenye pato la mwananchi lipo kwa wabunge

    Watanzania: Ongezeko la Shilingi laki moja kwenye pato la mwananchi lipo kwa wabunge

    Jun 14, 2019 07:57

    Raia wa Tanzania wameonyesha kushangazwa na kauli ya serikali ya nchi hiyo kwamba pato la mwananchi wa kawaida liliongezeka kwa Shilingi laki moja zaidi mwaka jana ikilinganishwa na mwaka mmoja kabla, na kusisitiza kwamba pato hilo lipo kwa wabunge pekee.

  • Serikali ya Tanzania: Uchumi wetu ulipanda na kufikia asimia 7.0 mwaka jana

    Serikali ya Tanzania: Uchumi wetu ulipanda na kufikia asimia 7.0 mwaka jana

    Jun 13, 2019 08:16

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa uchumi wa nchi hiyo ulikuwa na kufikia asilimia 7.0 mwaka jana ukilinganishwa na wa asilimia 6.8 mwaka 2017.

  • Taasisi ya Moyo Muhimbili Tanzania yamshukuru rais wa nchi hiyo + Sauti

    Taasisi ya Moyo Muhimbili Tanzania yamshukuru rais wa nchi hiyo + Sauti

    Jun 09, 2019 12:21

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo hospitali ya taifa ya muhimbili nchini Tanzania imetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kuisaidia Taasisi hiyo kupata jengo la Kitengo cha Matibabu ya Moyo kwa Watoto. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Kikao cha Rais Magufuli Tanzania, chaondoka na Waziri wa Viwanda na Kamishna wa TRA

    Kikao cha Rais Magufuli Tanzania, chaondoka na Waziri wa Viwanda na Kamishna wa TRA

    Jun 08, 2019 07:54

    Kufuatia kikao cha jana cha Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania na wafanyabiashara kutoka wilaya zote za nchi hiyo, kiongozi huyo amempiga kalamu nyekundu Joseph Kakunda, Waziri wa Viwanda na Biashara na kumteua mahala pake Innocent Bashungwa kuongoza wizara hiyo.

  • Rais John Magufuli: Natamani kuona mabilionea wengi nchini Tanzania

    Rais John Magufuli: Natamani kuona mabilionea wengi nchini Tanzania

    Jun 07, 2019 08:25

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, amesema kuwa anatamani wakati atakapomaliza muda wake wa uongozi, Tanzania iwe na mabilionea zaidi ya 100.

  • Semina ya kumbukumbu za kufariki dunia Imam Khomeini MA yafanyika Tanzania + Sauti

    Semina ya kumbukumbu za kufariki dunia Imam Khomeini MA yafanyika Tanzania + Sauti

    Jun 02, 2019 23:56

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Musa Farhang amesema kuwa Imam Khomeini MA alikuwa mfano wa Mwalimu Nyerere katika misimamo yake ya kulitetea taifa la Palestina n.k. Aidha amewahiiza Waislamu kufuata mambo hayo ili waweze kujikwamua kutoka katika ukoloni wa kifikra. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS