Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Wananchi wa Tanzania washiriki vikao na maandamano ya Siku ya Quds +SAUTI

    Wananchi wa Tanzania washiriki vikao na maandamano ya Siku ya Quds +SAUTI

    May 31, 2019 10:20

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kutetea Haki za Wapalestina nchini Tanzania Abdallah Othman, amemuomba Rais John Pombe Magufuli apaze sauti juu ya suala la kuwaunga mkono Wapelestina, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakidhulumiwa katika ardhi yao.

  • Rais wa Tanzania: Sasa Zimbabwe iondolewe vikwazo kwani uchumi wake umeboreka

    Rais wa Tanzania: Sasa Zimbabwe iondolewe vikwazo kwani uchumi wake umeboreka

    May 29, 2019 08:04

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania sambamba na kumpongeza Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, kutokana na hatua madhubuti za kufanya mageuzi ya uchumi katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuondoa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo.

  • Fatma Karume: Hukumu ya kuzuia wakurugenzi wa serikali kusimamia chaguzi Tanzania, ni kuzuia ushindi wa goli la mkono

    Fatma Karume: Hukumu ya kuzuia wakurugenzi wa serikali kusimamia chaguzi Tanzania, ni kuzuia ushindi wa goli la mkono

    May 24, 2019 09:09

    Fatma Karume, rais mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kuwa uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwaengua wakurugenzi wa halmashauri  kusimamia  chaguzi mbalimbali nchini Tanzania ni sawa na kuzuia ushindi wa goli la mkono katika uchaguzi.

  • Jakaya Kikwete: Licha ya juhudi kubwa za viongozi wa Afrika bado kuna matatizo makubwa ya kiutawala

    Jakaya Kikwete: Licha ya juhudi kubwa za viongozi wa Afrika bado kuna matatizo makubwa ya kiutawala

    May 23, 2019 03:52

    Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa licha ya kuwepo juhudi chanya za viongozi wa Afrika kuonyesha ubunifu wa mipango ya maendeleo, lakini bado kuna tatizo la utawala.

  • Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania Septemba 7, sawa na tarehe niliyoshambuliwa

    Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania Septemba 7, sawa na tarehe niliyoshambuliwa

    May 22, 2019 10:05

    Mbunge wa Singida Mashariki wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambacho ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema kuwa atarejea nyumbani tarehe 7 Septemba mwaka huu kutokea nchini Ubelgiji alikoenda kwa ajili ya kuendelea na matibabu.

  • Freeman Mbowe: Katika matatizo ndani ya chama Lowassa alilegea kuliko mlenda

    Freeman Mbowe: Katika matatizo ndani ya chama Lowassa alilegea kuliko mlenda

    May 20, 2019 03:18

    Kiongozi wa chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe amesema kuwa, katika dhoruba za miaka mwili ambazo alizishuhudia wakati akiwa ndani ya chama hicho Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, alilegea kuliko mlenda.

  • SAUTI, Rais John Magufuli Tanzania: Huwezi kupata utajiri wa haraka kwa kupandisha bei bidhaa ndani ya Ramadhani

    SAUTI, Rais John Magufuli Tanzania: Huwezi kupata utajiri wa haraka kwa kupandisha bei bidhaa ndani ya Ramadhani

    May 19, 2019 12:54

    Rais wa John Pombe Magufuli wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania wenye kupandisha bei za bidhaa zinazotumika zaidi ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani waache tabia hiyo mara moja, kama ambavyo pia ametaka kuwepo usimamizi stahiki kuhusiana na suala hilo.

  • Serikali ya Tanzania: Maduka ya kubadilisha fedha yataanza shughuli zake hivi karibuni

    Serikali ya Tanzania: Maduka ya kubadilisha fedha yataanza shughuli zake hivi karibuni

    May 18, 2019 03:33

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni nchini humo yataanza shughuli zake hivi karibuni.

  • SAUTI, Mufti wa Tanzania: Uislamu ni dini ya amani sana haitambui ugaidi na Waislamu Kenya wawataka polisi kutowasakama na ugaidi

    SAUTI, Mufti wa Tanzania: Uislamu ni dini ya amani sana haitambui ugaidi na Waislamu Kenya wawataka polisi kutowasakama na ugaidi

    May 10, 2019 10:23

    Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi amewataka Waislamu wa nchi hiyo kukataa kuwa sehemu ya mifaranakano katika jamii na badala yake wawe wamoja na hivyo wafanikishe kuleta maendeleo.

  • Serikali ya Tanzania: Watanzania puuzeni ripoti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya uchumi

    Serikali ya Tanzania: Watanzania puuzeni ripoti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya uchumi

    May 10, 2019 09:22

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka wananchi kutozingatia ripoti iliyovuja ya Shirika la Fedha Duniani (IMF).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS