Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Albino kuandamana Tanzania kulaani jinai wanazofanyiwa

    Albino kuandamana Tanzania kulaani jinai wanazofanyiwa

    Apr 28, 2019 13:28

    Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) nchini Tanzania kimeazimia kufanya maandamano ya kulaani jinai wanazofanyiwa ikiwemo ufukuaji wa makaburi ya watu wenye ulemavu huo na kuondoka na viungo vyao. Uovu huo uko zaidi mkoani Mbeya. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam, Tanzania...

  • Kimbunga cha Kenneth kufika kusini mwa Tanzania usiku wa leo, tahadhari zachukuliwa + Sauti

    Kimbunga cha Kenneth kufika kusini mwa Tanzania usiku wa leo, tahadhari zachukuliwa + Sauti

    Apr 25, 2019 12:12

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa, kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya kusini ya Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji kuanzia usiku wa leo. Hadi sasa wameshapokelewa watu takribani mia sita katika eneo la hifadhi. AMARI DACHI na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam

  • Mvua, mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua makumi ya watu Tanzania na Uganda

    Mvua, mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua makumi ya watu Tanzania na Uganda

    Apr 24, 2019 03:29

    Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki zimesababisha vifo vya makumi ya watu katika nchi za Uganda na Tanzania.

  • Serikali ya Tanzania: Hatujazuia kuchapishwa ripoti ya IMF, bado tunafanya majadiliano nao

    Serikali ya Tanzania: Hatujazuia kuchapishwa ripoti ya IMF, bado tunafanya majadiliano nao

    Apr 23, 2019 09:50

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa bado inaendelea kufanya majadiliano na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusiana na ripoti ya hivi karibuni ya shirika hilo kuulenga uchumi wa nchi hiyo.

  • SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, madrasa zatakiwa kuwa na mtaala mmoja, Mufti wa Tanzania asema; Uislamu haukatazi uzazi wa mpango

    SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, madrasa zatakiwa kuwa na mtaala mmoja, Mufti wa Tanzania asema; Uislamu haukatazi uzazi wa mpango

    Apr 19, 2019 13:51

    Ripoti ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Harith Subeit. Inaanza kuangazia macho sisitizo la uwepo wa mitaala ya kufundishia kwa ajili ya madrasa zote visiwani Zanzibar.

  •  IMF: Uchumi wa Tanzania utadhoofika kutokana na sera za serikali

    IMF: Uchumi wa Tanzania utadhoofika kutokana na sera za serikali

    Apr 19, 2019 03:38

    Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetahadharisha kuwa, uchumi wa Tanzania utadhoofika iwapo sera za sasa na sheria mpya zitaendelea kutekelezwa.

  • Fatma Karume: Bunge la Tanzania lilizingatia maana gani ya neno ‘Dhaifu’ la profesa Assad?

    Fatma Karume: Bunge la Tanzania lilizingatia maana gani ya neno ‘Dhaifu’ la profesa Assad?

    Apr 15, 2019 08:58

    Mwanasheria maarufu nchini Tanzania Fatma Karume amekosoa hoja ya Spika wa Bunge la nchi hiyo aliyesema kuwa bunge hilo halitofanya kazi na CAG na kwamba badala yake litafanya kazi na ofisi yake na kuongeza kuwa, katika katiba ya nchi hiyo mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, hakuna mahala panaposema kwamba ‘kuna ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).’

  • CAG wa Tanzania: Tutaendelea kutumia neno 'Dhaifu' katika ripoti zetu

    CAG wa Tanzania: Tutaendelea kutumia neno 'Dhaifu' katika ripoti zetu

    Apr 10, 2019 12:05

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanania, Profesa Mussa Assad amesema kuwa, wataendelea kutumia neno 'dhaifu' katika maeneo tofauti ya ukaguzi wao kulingana na taratibu za kazi hiyo zilivyo na kwamba hata ripoti aliyoiwasilisha leo pia ina neno dhaifu.

  • Wasomi Tanzania: Bunge limewasaliti wananchi kwa kutoshirikiana na CAG

    Wasomi Tanzania: Bunge limewasaliti wananchi kwa kutoshirikiana na CAG

    Apr 03, 2019 11:47

    Baada ya Bunge kuazimia kutoshirikiana na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania, mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Tumaini jijini Dar es salaam (TUDARCO) Danford Kitwana amesema kitendo hicho cha bunge ni kuwasaliti wananchi wake.

  • Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania alionya Bunge

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania alionya Bunge

    Apr 03, 2019 10:26

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Tanzania, Profesa Mussa Juma Assad ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya hatua ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kupasisha azimio la kutofanya kazi naye.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS