Albino kuandamana Tanzania kulaani jinai wanazofanyiwa
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i53149-albino_kuandamana_tanzania_kulaani_jinai_wanazofanyiwa
Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) nchini Tanzania kimeazimia kufanya maandamano ya kulaani jinai wanazofanyiwa ikiwemo ufukuaji wa makaburi ya watu wenye ulemavu huo na kuondoka na viungo vyao. Uovu huo uko zaidi mkoani Mbeya. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam, Tanzania...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Apr 28, 2019 13:28 UTC