Wananchi wa Tanzania washiriki vikao na maandamano ya Siku ya Quds +SAUTI
May 31, 2019 14:50 UTC
Mwenyekiti wa Kamati ya Kutetea Haki za Wapalestina nchini Tanzania Abdallah Othman, amemuomba Rais John Pombe Magufuli apaze sauti juu ya suala la kuwaunga mkono Wapelestina, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakidhulumiwa katika ardhi yao.
Wananchi wa Tanzania wamejitokeza kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam AMMAR DACHI ana maelezo zaidi....
Tags