Taasisi ya Moyo Muhimbili Tanzania yamshukuru rais wa nchi hiyo + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i54019-taasisi_ya_moyo_muhimbili_tanzania_yamshukuru_rais_wa_nchi_hiyo_sauti
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo hospitali ya taifa ya muhimbili nchini Tanzania imetoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kuisaidia Taasisi hiyo kupata jengo la Kitengo cha Matibabu ya Moyo kwa Watoto. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 09, 2019 12:21 UTC