Semina ya kumbukumbu za kufariki dunia Imam Khomeini MA yafanyika Tanzania + Sauti
Jun 02, 2019 23:56 UTC
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Musa Farhang amesema kuwa Imam Khomeini MA alikuwa mfano wa Mwalimu Nyerere katika misimamo yake ya kulitetea taifa la Palestina n.k. Aidha amewahiiza Waislamu kufuata mambo hayo ili waweze kujikwamua kutoka katika ukoloni wa kifikra. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
Tags