Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Ajali mbaya yaua wanafunzi 32 na walimu wao mjini Arusha Tanzania

    Ajali mbaya yaua wanafunzi 32 na walimu wao mjini Arusha Tanzania

    May 06, 2017 08:08

    Polisi ya Tanzania imetangaza kutokea ajali mbaya iliyosababisha jumla ya wanafunzi 29, walimu wawili na dereva mmoja kufariki dunia.

  • SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    May 02, 2017 12:13

    CUF yakosoa Muungano wa Tanzania

  • Iran na Tanzania kuimarisha uhusiano wao katika uwekezaji wa nishati

    Iran na Tanzania kuimarisha uhusiano wao katika uwekezaji wa nishati

    Apr 29, 2017 11:33

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tanzania zimekusudia kuimarisha uhusiano baina yao katika sekta ya uwekezaji wa nishati.

  • Polisi Tanzania yaanzisha operesheni maalum baada ya kuuawa polisi 8

    Polisi Tanzania yaanzisha operesheni maalum baada ya kuuawa polisi 8

    Apr 15, 2017 03:15

    Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amelaani mauaji ya askari polisi wanane wa nchi hiyo waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha siku ya Alhamisi katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani nchini humo, huku polisi ikianzisha operesheni maalumu kufuatia mauaji hayo.

  • SAUTI, Viongozi wa serikali ya awamu ya Tano Tanzania watakiwa kuweka kando tofauti zao ili kuliletea taifa maendeleo

    SAUTI, Viongozi wa serikali ya awamu ya Tano Tanzania watakiwa kuweka kando tofauti zao ili kuliletea taifa maendeleo

    Apr 10, 2017 00:15

    Viongozi wa serikali nchini Tanzania wametakiwa kuelewa umuhimu wa kuzingatia dhana ya uongozi bora ambayo ndio msingi wa maendeleo ili kufanikiwa kikamilifu katika mipango ya serikali kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati.

  • UNICEF: Watoto 269 walio chini ya miaka mitano hufariki dunia kila siku Tanzania

    UNICEF: Watoto 269 walio chini ya miaka mitano hufariki dunia kila siku Tanzania

    Apr 07, 2017 10:05

    Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limesema kuwa, jumla ya watoto 269 wenye umri wa chini ya miaka mitano hufariki dunia kila siku nchini Tanzania.

  • Ethiopia kuipa Tanzania umeme wa bei nafuu, kutumia bandari ya Dar es Salaam

    Ethiopia kuipa Tanzania umeme wa bei nafuu, kutumia bandari ya Dar es Salaam

    Apr 02, 2017 03:44

    Tanzania na Ethiopia zimetiliana saini mikataba kadhaa ya ushirikiano wa kiuchumi na biashara na kuahidi kuendelea kuimarisha uhusiano wa pande mbili.

  • Mahakama Kenya yasimamisha mpango wa kuajiriwa madaktari wa Tanzania

    Mahakama Kenya yasimamisha mpango wa kuajiriwa madaktari wa Tanzania

    Mar 31, 2017 10:33

    Mahakama ya Leba nchini Kenya imesimamisha mpango wa serikali wa kuwaajiri mamia ya madaktari kutoka nchi jirani ya Tanzania.

  • SAUTI: Sintofahamu yaendelea kugubika Tanzania baada ya hatua ya Rais Magufuli wa Tanzania kumpiga kalamu nyekundu Waziri Nape Nnauye

    SAUTI: Sintofahamu yaendelea kugubika Tanzania baada ya hatua ya Rais Magufuli wa Tanzania kumpiga kalamu nyekundu Waziri Nape Nnauye

    Mar 23, 2017 13:41

    Baada ya uteuzi wa mawaziri wapya katika Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ikiambatana na kumpiga kalamu nyekundu kwenye baraza hilo Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye, uteuzi huo umetafsiriwa kwa hisia tofauti na Watanzania.

  • Rais wa Tanzania amfuta kazi Nape Nnauye

    Rais wa Tanzania amfuta kazi Nape Nnauye

    Mar 23, 2017 03:31

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania leo Alkhamisi amefanya mabadiliko mengine katika Baraza la Mawaziri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS