SAUTI: Maalim Seif azungumzia miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i28558-sauti_maalim_seif_azungumzia_miaka_53_ya_muungano_wa_tanganyika_na_zanzibar
CUF yakosoa Muungano wa Tanzania
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 02, 2017 12:13 UTC

CUF yakosoa Muungano wa Tanzania

Siku chache baada ya Rais John Magufuli wa Tanzania kuapa kuulinda Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa nguvu zake zote, Chama cha Wananchi CUF kimejitokeza na kukosoa vikali ukiukwaji wa baadhi ya vipengee kwenye hati ya muungano huo. Akihutubu katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano mjini Dodoma wiki jana, Magufuli alisema yeyote akayejaribu kuleta chokochoko za kutaka kuuvunja Muungano, atavunjika yeye mwenyewe.

Mwandishi wetu Hassan Issa Ali ametutumia ripoti hii kutoka Zanzibar...