-
Tanzania kupeleka madaktari 500 Kenya kusaidia kukabiliana na mgomo
Mar 18, 2017 12:32Tanzania itapeleka madaktari 500 Kenya kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za mgomo wa madaktari unaoendelea katika hospitali za umma.
-
Iran yakaribishwa kuwekeza katika usindikaji bidhaa Tanzania
Mar 18, 2017 12:20Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwekeza katika sekta ya viwanda nchini humo, hususan katika viwanda vya kusindika bidhaa.
-
SAUTI: Ripoti ya matukio ya Kiislamu, kuanzia mazishi ya mama yake rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na masuala mengine ya Kiislamu
Mar 10, 2017 15:03Wiki hii rais mtaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alifiwa na mama yake mlezi.
-
SADC: Burundi imalize mgogoro wa kisiasa ili ipewe uanachama
Feb 28, 2017 03:51Jumuiya ya Ustawi ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC imeitaka Burundi kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoikabili kwa sasa, iwapo inataka kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ya kikanda.
-
Ombi la Burundi kwa serikali ya Tanzania la kuwakamata wapinzani wake
Feb 19, 2017 23:20Katika hali ambayo juhudi za kuondokana na mgogoro wa kisiasa nchini Burundi bado zinaendelea, serikali ya Bujumbura imeiomba Tanzania kuwatia mbaroni wapinzani wake ambao wanaosakwa na mahakama za nchi hiyo, ambao kwa hivi sasa wako kaskazini mwa Tanzania.
-
Burundi yaitaka serikali ya Tanzania iwatie mbaroni wapinzani
Feb 18, 2017 23:12Serikali ya Burundi imeitaka Tanzania iwatie mbaroni wapinzani hao ambao wanashiriki kikao cha mazungumzo ya amani huko kaskazini mwa Tanzania huku wakiwa wanatafutwa na mahakama ya nchi hiyo kwa kuhusika na mapinduzi yaliyofeli.
-
Serikali ya Burundi kutoshiriki mazungumzo ya amani, Tanzania
Feb 16, 2017 04:30Serikali ya Burundi imesema haitoshiriki katika mazungumzo ya kujaribu kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo yanayotazamiwa kuanza hii leo nchini Tanzania.
-
Mabaharia wa Iran waachiwa huru Tanzania, wanarejea leo nchini
Feb 14, 2017 10:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mabaharia wa Kiirani waliokuwa wameingia kikakosa katika maji ya Tanzania na kutiwa nguvuni, wameachiwa huru.
-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 13
Feb 13, 2017 04:37Mkusanyiko wa matukio kemkem ya spoti ndani ya siku saba zilizopita......................
-
Viongozi wa Kiislamu Tanzania waunga mkono vita dhidi ya mihadarati
Feb 10, 2017 04:37Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania Alhad Mussa Salum amesema dawa za kulevya zinateketeza nguvukazi ya taifa, jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kumea.