-
Mutharika: Mazungumzo mapya kuhusu mzozo wa mpaka wa Tanzania/Malawi kuanza
Feb 07, 2017 11:35Rais Peter Mutharika wa Malawi amesema duru mpya ya mazungumzo ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa mpaka wa nchi hiyo na jirani yake, Tanzania itaanza karibuni hivi.
-
Tanzania: Wakati mwingine polisi wasio waaminifu wanachangia kukwamisha mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Feb 02, 2017 18:52Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania Poul Makonda amesema kuwa, wakati mwingine juhudi za kupambana na janga la madawa ya kulevya, zinakwamishwa na maafisa wa polisi wasio waaminifu.
-
Kongamano la wafuasi wa dini kuishi kwa masikilizano lafanyika UDSM, Tanzania
Feb 01, 2017 13:07Kongamano la wafuasi wa dini mbalimbali kuishi kwa masikilizano na utumiaji wa akili na mantiki kwa mtazamo wa mafundisho ya Imam Ridha (as) limefanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania.
-
Iran na Zanzibar kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Jan 24, 2017 04:47Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Utalii wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar nchini Tanzania amesema kutangazwa Mash'had kaskazini mashariki mwa Iran kuwa mji mkuu wa kiutamaduni wa ulimwengu wa Kiislamu utaandaa mazingira ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zanzibar.
-
Rais wa Uturuki yuko Tanzania, asaini mikataba kadhaa ya maelewano
Jan 24, 2017 04:07Rais wa Uturuki yuko nchini Tanzania katika ziara rasmi ya kiserikali inayopania kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja tofauti.
-
Uchaguzi mdogo wa Bunge Zanzibar, CCM yashinda kiti cha Dimani, yaongoza udiwani
Jan 23, 2017 01:21Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar na kuzoa viti vya udiwani katika maeneo mengi Tanzania Bara katika majimbo ambayo kura zake zilikuwa zimehesabiwa na matokeo yake kutolewa hadi kufikia jana usiku.
-
Uchaguzi mdogo wa ubunge Zanzibar; mgombea wa upinzani adai ni 'vurugu tupu'
Jan 22, 2017 13:32Uchaguzi mdogo wa jimbo la ubunge la Dimani viswani Zanzibar nchini Tanzania umefanyika leo huku chama kikuu cha upinzani visiwani humo cha Wananchi (CUF) kikilalamikia kile kilichodai kuwa ni ukiukaji mkubwa wa sheria na taratibu za uchaguzi.
-
SAUTI: Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi visiwani Zanzibar
Jan 12, 2017 13:52Leo visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Januari 1964.
-
Watu 12 wafariki dunia kwa kuzama maji nchini Tanzania
Jan 11, 2017 01:20Watu 12 wameripotiwa kufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini nchini Tanzania.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 9
Jan 09, 2017 02:58Mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo ndani ya siku saba zilizopita......