Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tanzania kuchunguza madai ya kuifanyia ujasusi Malawi

    Tanzania kuchunguza madai ya kuifanyia ujasusi Malawi

    Dec 27, 2016 01:13

    Serikali ya Tanzania imesema, itafanya uchunguzi kuhusu habari zilizoripotiwa jana na vyombo vya habari vya Malawi vinavyodai kuwa majasusi wanane wa Tanzania wametiwa mbaroni wakifanya ujasusi katika mgodi mmoja wa urani katika nchi hiyo jirani.

  • Tanzania yakanusha kuweko nchini humo kirusi cha Zika

    Tanzania yakanusha kuweko nchini humo kirusi cha Zika

    Dec 17, 2016 13:31

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema hakuna uthibitisho wa kuwepo kwa ugonjwa wa Zika nchini humo.

  • Miili sita yapatikana mtoni Mkoa wa Pwani, nchini Tanzania

    Miili sita yapatikana mtoni Mkoa wa Pwani, nchini Tanzania

    Dec 08, 2016 06:07

    Maiti sita ambazo hazijatambulika zimekutwa zikielea katika Mto Ruvu eneo la Bagamoyo, Mkoa wa Pwani nchini Tanzaia, zikiwa zimehifadhiwa kwenye mifuko ya plastiki.

  • Tanzania mwenyeji wa mkutano wa AU kuhusu demokrasia na haki

    Tanzania mwenyeji wa mkutano wa AU kuhusu demokrasia na haki

    Nov 23, 2016 04:46

    Duru ya tano ya mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuhusu Demokrasia, Haki, za Binadamu na Uongozi imeanza hii leo mjini Arusha Tanzania.

  • Tanzania yazima njama ya kuenezwa ushoga na ndoa za watu wenye jinsia moja

    Tanzania yazima njama ya kuenezwa ushoga na ndoa za watu wenye jinsia moja

    Nov 20, 2016 04:43

    Katika kile kinachoonekana ni nia ya dhati ya kupiga vita na kukabili jitihada za kueneza vitendo vya ushoga nchini Tanzania, serikali imefanikiwa kuidhibiti Asasi ya Kimataifa ya UPR Info, iliyoandaa mpango wa kuwashawishi maofisa wa serikali na wabunge kuunga mkono harakati za ushoga nchini humo.

  • SAUTI, Watanzania: Kuchaguliwa Trump kumebainisha kuwa Wamarekani wote wana ubaguzi mioyoni mwao

    SAUTI, Watanzania: Kuchaguliwa Trump kumebainisha kuwa Wamarekani wote wana ubaguzi mioyoni mwao

    Nov 10, 2016 13:14

    Watanzania walio wengi wameonyesha masikitiko yao kufuatia ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais nchini Marekani kutokana na kile wanachokidai kuwa ni misimamo hasi ya kibaguzi ambayo mara nyingi alikuwa akiitoa katika kipindi chote cha kampeni.

  • Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole

    Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole

    Nov 07, 2016 04:33

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo, Samuel Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumaini alikokuwa anapatiwa matibabu.

  • SAUTI: Mgogoro wa kisiasa Zanzibar umewafanya Watanzania kuwa na kauli tofauti baada ya kikao cha Rais Magufuli TZ na waandishi wa habari Ijumaa hii

    SAUTI: Mgogoro wa kisiasa Zanzibar umewafanya Watanzania kuwa na kauli tofauti baada ya kikao cha Rais Magufuli TZ na waandishi wa habari Ijumaa hii

    Nov 05, 2016 13:27

    Baada ya Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kuzungumza na waandishi wa habari Ijumaa hii katika hafla ya kutathmini uongozi wake wa mwaka mmoja tangu achaguliwe kuwa rais, kumekuwepo na kauli tofauti baina ya Watanzania juu ya nukta alizoziashiria rais huyo.

  • Tanzania yaitaka mahakama ya ICC kukutana na nchi wanachama wa Mkataba wa Roma

    Tanzania yaitaka mahakama ya ICC kukutana na nchi wanachama wa Mkataba wa Roma

    Nov 02, 2016 04:38

    Wakati nchi kadhaa za Afrika zikionesha dalili za kutaka kujiengua kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Tanzania imeishauri mahakama hiyo kukaa meza moja na nchi wanachama wa Mkataba wa Roma, hasa za Afrika ili kutafuta suluhu ya changamoto na tofauti zilizopo kati ya mahakama hiyo na wanachama wake.

  • Tanzania na Kenya zakubaliana kujenga barabara mbili unganishi

    Tanzania na Kenya zakubaliana kujenga barabara mbili unganishi

    Nov 01, 2016 04:27

    Tanzania na Kenya zimekubaliana kuanza kwa wakati ujenzi wa barabara mbili unganishi ambazo zitaboresha usafirishaji wa bidhaa na safari za raia kati ya nchi mbili hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS